Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa arusha ukijenga majengo marefu mengi sana utaharibu maandhari ya utalii, hicho kiwanja kinahitaji garden la maana kuuzunguka uwanja, utavutia sana kuliko kukimbilia kuweka mijengo.
Hapana hii ni ideology ya watu wa kitaambo. Saiv ukijinga majengo marefu kwa mji caliber ya Arusha unaifanya ipendeze zaidi. Ngoja nikupe mfano. Hii apo vancouver city.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…