Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu cha kuhuzunisha ni kwamba hiyo yao wamekuja kujengea nchi jirani alafu wanashangulia badala ya kuhuzunika
Walijenga mtungi Tatu Dar wakaona occupancy iko chini kama uchumi Yao ikabidi wamekimbilia Nairobi. Sahii wamekaa miaka kama Saba bila kujenga gorofa imepita 30 floors ๐Ÿ˜‚. Westlands alone has more buildings over 30 floors under construction than the entire Dar es Salaam
 
Tukiwaambia uchumi wetu ni kubwa wanasema ni data za kupikwa. NSSF Tanzania could have easily built that tower in Dar but they know kwao Kuna low occupancy rates wakaona ni vyema waijenge Nairobi where office and residential spaces sell.

Try telling a bongolala that that's the effect of a bigger economy you'll be greeted with verbal diarrhoea
 
SIna muda wa kukuelewesha takataka kama wewe unayejua ila unaanza fuvu.

Wakenya mko hivyo.

Soon utamuja haoa kusema Tatu city is owned by Kenyans.
The problem is your low English comprehension level
 
Kwahiyo kutojenga gorofa ya 30 floors ndio kwamba hakuna wapangaji au.? Unajua ni gorofa ngapi zinajengwa Dar by now.? Wanawezaje kujenga kama hakuna wapangaji.? Hii akili unatumia kuvuka barabara.?
 
There are 3 buildings of over 20 floors coming up in Dar CBD.
Skyline ya Posta inarejesha heshima yake. Hao wanaosema hatujengi majumba marefu kwasababu hayana wapangaji. Sijui wanatumia akili gani. Kwani lazima watu wajenge over 30 floors ndio ijulikane kuna wapangaji.? ๐Ÿ˜‚. Royal residence hii inajengwa pembeni na holiday inn.

Golden anniversary. ๐Ÿ‘‡๐Ÿพhii ni nyuma ya viva tower emperial tower upanga east ๐Ÿ‘‡๐Ÿพresidence 51. ๐Ÿ‘‡๐ŸพupangaResidence 52 upanga ๐Ÿ‘‡๐Ÿพresidence 53๐Ÿ‘‡๐ŸพupangaHarmony residency Upanga ๐Ÿ‘‡๐Ÿพmubarak residence upanga. ๐Ÿ‘‡๐Ÿพhizi hapa ni chache kati ya projects za Posta na Upanga ninazozijua zenye zipo under construction.
 
Hizi zote zipo under way.. some luxury projects that are going to change Darโ€™s skyline. Makunya yanalazima tujenge over 30 floors. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ eti hatuna wapangaji. Haya mambo hayo hapo down. ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ. Golden premium residences Kawe. Mango tree residences msasani. Royal glory residences mikocheni ๐Ÿ‘‡๐Ÿพsky Roya residence mikocheni๐Ÿ‘‡๐Ÿพhapo down kuna projects mingi zinakujaseven eleven kawe ๐Ÿ‘‡๐Ÿพhii tayari isha take shape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ