Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,070
- 17,787
Wewe utasumbuka sana na bado. Unataka nikuonyeshe nini? Something like hydraulic tension cable roof system is something already in place na ilitumika roof ikijengwa. Ama unataka nikuletee picha nikuambie ndio hii? It's an application kijana wa Tandale.Unajiabisha kila siku nakwambia, for reference nenda kaangalia HOIMA LED Boards ZAO zimewekwa ndan ya cement not outside a wall, tumekwambia ni temporary watu wanakuona kama hauna akili
Alafu badala uonyeshe izo feature unaonyesha blog posts, unaropoka tu sjui VAR mara goal line tech, wewe unajua camera zinahitajika ngap kwa ajili ya hizo feature, even moroco ambao ligi yao ni kubwa hawana VAR wala goal line tech, unapenda kujiabisha sana
LED tena inawekwa ndani ya cement? 🤣🤣🤣🤣. Enyewe wewe ni mjinga!