Leta huo ushahidi, inaonesha kabisa ni la 90sHio design ya Kariakoo ilijengwa na Nyerere in the 70's. Marikiti ijengwa 1966.
Kwa hivyo unapinga kitu hujui, enyewe wewe ni kondoo. 😂 😂Leta huo ushahidi, inaonesha kabisa ni la 90s
walikuwa wanashindana na SA saahii wanadinywa right n left!