Bakhresa is richer than bothView attachment 3565002
View attachment 3565003
jumlisha hao millionaires wako w akenya alafu tuambie wamefika billlion ngap
Mbeya will always be greenila wasije kuondoka ile green, chonde chonde
wewe pia unaangukia propaganda kama hizi..have you verified those renders wewe mwenyewe?
Kariakoo amabayo ilicopy Marikiti Market. Sasa ona vile wewe ni mjinga. 😂 😂Lazima muige roofing ya Kariakoo market 😁hiyo ndio SI unit ya market ukanda huu.
Bongolala wanaumia. 😂😂😂wewe pia unaangukia propaganda kama hizi..have you verified those renders wewe mwenyewe?
we fala, stadiums zipo kwenye makundi ya CAT, the highest is CAT 4 meaning u can host any african match, Talanta haina CAT 4 na haiwezi kufika CAT 4, kasarani ndo kabisa tucheke, the only thing you can pull out now is talanta ambayo nayo ndo ivo tena mshaweka plastic seats, TAA ndo hivo tena, kwa luugha nyepesi nmeandika apo juu my opinions na nmesema , ikitokea kenya amehost AFCON basi itakua magicSasa nelson Mandela ndio Takataka gani. Uwanja za 1940 na running tracks nyekundu huwezi linganisha na Talanta my friend. Na ujue bado hujaona LED Advertisement board zinawekwa pale Talanta 😂. AFCON Opening na Finale Itakua Moto hapa Talanta, mtabaki mkishangaa
View attachment 3565127View attachment 3565128
lakini bado, yaani kenya kuhost AFCON sioni chances zao, uwanja wa kasarani na nyayo CAF wamesema utatumika kwa mazoezi tu na sio mechi, talanta ndo hivo zile TAA na zile siti kama unavoona, ukijumlisha itakua mwaka wa uchaguzi pia, kiukwel i dont see it happening, no wonder fees imechelewa sanaAfadhali maana walikuwa wanataka kutuangusha tukose wote hii opportunity.
Mimi sio mtabiri lakini .... 🤣 🤣 🤣 🤣Sasa nelson Mandela ndio Takataka gani. Uwanja za 1940 na running tracks nyekundu huwezi linganisha na Talanta my friend. Na ujue bado hujaona LED Advertisement board zinawekwa pale Talanta 😂. AFCON Opening na Finale Itakua Moto hapa Talanta, mtabaki mkishangaa
View attachment 3565127View attachment 3565128