We don't have a dollar billionaire. All the same, we have more than twice dollar millionaires than youwa kwako wapo wap?
HatutalipaWhen will you pay the CAF fee?
Umeishiwa Point kijana. Tanzania acts like a big brother in East Africa. So we just let you scream like little children because you don't know anything.
Do you know 1 billionaire = 1,000 millionaires?We don't have a dollar billionaire. All the same, we have more than twice dollar millionaires than you
Uzuri huna pesa so hiyo sio shida yako.Hakuna sehemu za attractions kwa watu wenye pesa huko Nairobi. Tell me if I have $1,000,000 I want to spend in Nairobi what should I do?
Free Chatgpt again? Umeshindwa kulipa $20 USD per month. Hakika wewe ni maskini wa kutupwa
Hivyo ndivyo ulifundishwa Saint Kayumba community primary school?Do you know 1 billionaire = 1,000 millionaires?
Umeshindwa kulipia Chatgpt just $20 USD per month, na bado unanguvu ya kuongelea masuala ya pesa hapa. Hakika wakenya hamna aibu.Uzuri huna pesa so hiyo sio shida yako.
Mbona sasa unaongelea hela zenye huna? Utajuaje mambo ya dola millionaires kama wewe sio mmoja wao? 🤣 🤣Lady Boys wa hapo Nairobi unawaita exparts, vloggers unawaita experts.
Tell me, kama nipo na $1,000,000 what could I spend in Nairobi?
Answer the question
Kila siku nakwambia, weka the same prompt kwa hiyo yako yenye umelipia tuone utofauti, bado unapiga tu kelele. 🤣 🤣Free Chatgpt again? Umeshindwa kulipa $20 USD per month. Hakika wewe ni maskini wa kutupwa
The guy is mentioning a million dollars so casually he forgets there are only 2,000 such people in Tanganyika as a whole!Uzuri huna pesa so hiyo sio shida yako.
Kila mtu anajua elimu ya kenya basic on colonia script. So sikulaumu wewe namlaumu KenyattaHivyo ndivyo ulifundishwa Saint Kayumba community primary school?
Tuonyeshe kwa yako yenye umelipia. Wewe ni mtu ambaye kwa lugha ya kimombo tunaita wannabe. A few posts ago ulikuwa unajiita dollar millionaire, saahii unatamba ati umelipa $20 za chat GPT as if it is an achievement na tukikuambia upost haupost. 🤣 🤣Umeshindwa kulipia Chatgpt just $20 USD per month, na bado unanguvu ya kuongelea masuala ya pesa hapa. Hakika wakenya hamna aibu.
Kama $20 ya Chat GPT amekuwa akiimba for a week na hatoi receipt unategemea nini? 🤣 🤣The guy is mentioning a million dollars so casually he forgets there are only 2,000 such people in Tanganyika as a whole!
$20 USD per month imekushinda tukiongea mambo ya maana utaelewa kweli?Mbona sasa unaongelea hela zenye huna? Utajuaje mambo ya dola millionaires kama wewe sio mmoja wao? 🤣 🤣
Wewe umelipia? 🤣 🤣$20 USD per month imekushinda tukiongea mambo ya maana utaelewa kweli?
Hiyo lugha nani alikufundisha? Kama hujui kiswalihili andika Kikikuyu. Maana tunajua English hujuiTuonyeshe kwa yako yenye umelipia. Wewe ni mtu ambaye kwa lugha ya kimombo tunaita wannabe. A few posts ago ulikuwa unajiita dollar millionaire, saahii unatamba ati umelipa $20 za chat GPT as if it is an achievement na tukikuambia upost haupost. 🤣 🤣
Nimelipia miaka 3 mdogo wanguWewe umelipia? 🤣 🤣
Interestingly Kenya pekee ndio imebadilisha form of education kabisa from what mkoloni alituachia. Tulienda 8-4-4 saahii tuko CBC. Nyinyi bado mko tu pale pale O levels na A levels za mkoloni na bado unapata nguvu za kuongelea elimu. 🤣 🤣Kila mtu anajua elimu ya kenya basic on colonia script. So sikulaumu wewe namlaumu Kenyatta
Unahepa mada?🤣🤣Hiyo lugha nani alikufundisha? Kama hujui kiswalihili andika Kikikuyu. Maana tunajua English hujui