Akili ya kimaskini ndio hii sasa.NairobiWalker Tell us unataka kulinganisha Nakuru na nini?
Nakuru vs Arusha?, Nakuru vs Dodoma? Nakuru vs Zanzibar? or Nakuru vs Iringa?, Nakuru vs Moshi? or Nakuru vs Morogoro? or Nakuru vs Tanga?
Chagua wewe mwenyewe tukuoneshe uchanganyikiwe.
Kila mtu anajua wakenya wanasumbuliwa na bipolarAkili ya kimaskini ndio hii sasa.
Sawa, tuonyeshe hiyo prompt yako ya Gemini tuone. Wacha maneno mengi.Gemini is better than Chatgpt.
Unatakiwa ujifunze kuhusu AI ili ujue. Chatgpt inatumia reinforcement learning (Kuna baadhi ya wakenya wameajiliwa GPT the add propaganda in it). Use Gemini ambayo unaongelea uhalisia
Gemini benefits from deep integration with Google’s data ecosystem, emphasizing real-time web access and multimodal processing, while ChatGPT specializes in conversational fluency and creative writing, often relying on extensive reinforcement learning from human feedback
Wewe mbona usituonyeshe result zako za Gemini?Use Gemini kijana. Achana na Chatgpt (Chatgpt ni pre defined data)
Nimekuonyesha list ya biggest cities by economy in Kenya and Tanzania combined. Kama unabisha Lete source yako. Maneno mengi hatupendelei.NairobiWalker Tell us unataka kulinganisha Nakuru na nini?
Nakuru vs Arusha?, Nakuru vs Dodoma? Nakuru vs Zanzibar? or Nakuru vs Iringa?, Nakuru vs Moshi? or Nakuru vs Morogoro? or Nakuru vs Tanga?
Chagua wewe mwenyewe tukuoneshe uchanganyikiwe.
Jamaa anapiga kelele akisingesha magoli na ni yeye ameleta story za AI. Namwambia kama anajiamini alete result zake including the prompt tuone badala ya kuzungukazunguka akijifanya gwiji wa AI wakati hamna anachojua.😂😂Akili ya kimaskini ndio hii sasa.
Tungehama huku. 😂🤣🤣Angekuwa Mtanzania hatungepumzika.
View: https://www.instagram.com/p/DWeEKXBDEvC/?img_index=2&igsh=Z3FkZHZhMTd4enNk
mngeshinda na ya mwaka jana basiTungehama huku. 😂🤣🤣
Are you talking about a city or a County? Be specific. When it comes to economic matters, Tanzania has regions that you don't even know about, but its economy feeds all of Turkana.Nimekuonyesha list ya biggest cities by economy in Kenya and Tanzania combined. Kama unabisha Lete source yako. Maneno mengi hatupendelei.
Boss unaongelea nakuru hii ama kun inginePingana na ChatGPT.
Don’t forget the ignorance they displayed other day about basketball. I realize they don’t even know the game is about series not a single game . Next they will celebrate their team winning a set against Kenya in a volleyball game. Ile Ushamba iko na hawa watu … Lord have mercy.Angekuwa Mtanzania hatungepumzika.
View: https://www.instagram.com/p/DWeEKXBDEvC/?img_index=2&igsh=Z3FkZHZhMTd4enNk
Cha muhimu mmefungwa 🤣 🤣 , infact kesho mnacheza na rwanda bado mtafungwa!Don’t forget the ignorance they displayed other day about basketball. I realize they don’t even know the game is about series not a single game . Next they will celebrate their team winning a set against Kenya in a volleyball game. Ile Ushamba iko na hawa watu … Lord have mercy.
Kenya made AY just as they made Diamond… there was a time when any Tanzanian artist had to start their career in Kenya to make it . Now Bongolalas quickly forget that na wanatutapikia …Asante ya punda ni Mateke 😁😁😁
Mnachekesha sana vijana. 🤣 🤣 🤣 🤣 Bipolar is real in KenyaKenya made AY just as they made Diamond… there was a time when any Tanzanian artist had to start their career in Kenya to make it . Now Bongolalas quickly forget that na wanatutapikia …Asante ya punda ni Mateke 😁😁😁
Kenya made AY? mbona msi-made ur own global artist? Diamond sidhani kama amefanya kazi za maana na Ogopa! BTW ur media is now under Tanzania's ownership! And all big names producers in the EA r in Tanzania!Kenya made AY just as they made Diamond… there was a time when any Tanzanian artist had to start their career in Kenya to make it . Now Bongolalas quickly forget that na wanatutapikia …Asante ya punda ni Mateke 😁😁😁