Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,756
No sijasema in terms of passengers numbers, mm on my own nmesema ndan kuko so well arranged, huo uwanja ni mdogo sana hata wa Arusha mkubwa, But una hadhi ya international, so kwa standard yake mm personally nasema uko well arranged kwa ndan, very easy to navigateHebu tueleze kivipi? Hujajua regional politics kama Nairobi bado ina-claim kuwa na room capacity kubwa kuliko Zanzibar! What makes u believe hicho unachosoma? Huo uwanja hauna airbridges! Na unapitisha PAX less than 1,1 ! Yaani hata KIA has more PAX than Kigali International airport!
View: https://youtu.be/CFH8rlUHoDk?si=_oQXWVpucMU9Fv2c
Na wewe ulimeza izo propaganda, unajua 10k people?Huko kwenu waliuawa elfu kumi sii sad lakini ya huku kwetu sita pekee yanakuhuzunisha. Wavumbistan na unafiki.
i think the report walisema ni nje sio ndan ya uwanja, huyu kaongeza chumvi tu! Nliiona hio report japo walibase sana nje kwamba hakuna maduka, super markets na hospitali iko mbali vitu kama ivo
Kwa hivo wewe ukilipia daraja la kigamboni unakuwa maskini ila mimi nikilipia expressway nakuwa tajiri? Akili za kibongolala vaane.Tanzania hata Daraja la Kigamboni ni PPP, kati ya serikali na NSSF.
HTa hiyo barabra ya Chalinze kuwa PPP ni mali ya kila mtu, na inajengwa kwa akili, na ndio maana Contractor mwenye bei kubwa amekuwa rejected na inaamza upya.
Kenya NAIROBI expressway, imejengwa maalum kwaajili ya RICH PEOPLE wanaoishi kwenye BANANA Nairobi aka Expressway Neighbourhood, frok JKIA to Uppwerhill, Westland, etc
But, mnalipa makapuku