Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

@jukwaa la Siasa hakuna Mtanzania atasikiliza upuzi wako lakini Kenyan news and politics wenzao kina chooboy, jiwe la mavi, kengeza ulole and other like minded retards Muko tayari kunyonyana mb#ro 24/7.
 
So lami za Dar vile zimejaa white sand na pia kuparara ndio unalinganisha na hiyo!?
Mchanga wetu hauchafui nguo wala magari, toka lini mtu anachafuka from sea sand, ila udongo wenu wa kulimia mihogo lazima uchafuke braza, dongo jekundu hilo
 
@jukwaa la Siasa hakuna Mtanzania atasikiliza upuzi wako lakini Kenyan news and politics wenzao kina chooboy, jiwe la mavi, kengeza ulole and other like minded retards Muko tayari kunyonyana mb#ro 24/7.
Wewe umeanza kuona comment za Annael juzi tu. Nipo JF since 2011. Nimekupatia home work. Fuatilia comment na thread zangu. Kisha uje hapa na heshima. Jukwaa hili tulikuja tu kuweka mambo sawa. But mara nyingi huwa nipo kwenye jukwaa la intelligent. So unatakiwa ujifunze kukubaliana na matokeo. Kenya na Tanzania zipo kwenye kapu moja japo Tanzania ipo na benefits nyingi kutokana na
1. Resources
2 Geographical Location nzuri
3. National unity
etc.
 
Hivi hawa wakenya mbona point yenu kubwa ni barabara tu , you cant win thru one point semeni mengine.. barabara barabara tumeshachoka ..
 
Nasikia huyu CS amebakishwa katika baraza la mawaziri, kweli Kenya hakuna watu, huyu alipaswa kutimliwa kipindi kile cha kugombania bomba la mafuta, alikuwa anazungumza urongo mtupu, kichwani hajui kitu huyu jamaa kabisa
Wewe hujui kazi alioifanya Charles keter kwa sasa stima ni 80% connectivity na streets lights iko kwa kila town na centres
 
Hivi hawa wakenya mbona point yenu kubwa ni barabara tu , you cant win thru one point semeni mengine.. barabara barabara tumeshachoka ..
lete Residential Areas za dar is slum tuone pahali nyinyi hukaa
 
Wewe unadhani kila mtu yuko na muda wa kipuuzi kujadili lisu,mara magu katukana.
 
lete Residential Areas za dar is slum tuone pahali nyinyi hukaa
Is your responsibility kutafuta residential areas za Tanzania. Sisi tumeweka za huko kenya. Tafuta kama utaona vibanda kama vya nguruwe Dar.
 
Bado muda mfupi tu tuingie kwenye historia ya Dunia ya kua moja ya nchi yenye Bomba refu zaidi la kusafirisha mafuta Duniani. Likizinduliwa hili CNN BBC Aljazeera wote lazima waitwe[emoji23][emoji23][emoji23]

Nb. Hizi ni Random pictures from the Internet..
 
Wewe hujui kazi alioifanya Charles keter kwa sasa stima ni 80% connectivity na streets lights iko kwa kila town na centres
Yoow, street lights za dar ni kibogo kijana. Nairobi mji wenu hauwaki kama wetu.. njoo ujionee nyie barabara zenu zina kigiza fulani hivi cha mbali..sisi ukiachana na normal street lights za pembeni kuna za kati ambazo
lete Residential Areas za dar is slum tuone pahali nyinyi hukaa
hehehehe usitaki kubishana ujinga, do me a favor nenda google search slums in dar na search slums in Nairobi then angalia which ones are worse.. kijana u fooling youself openly by disagreeing
 
Usiongelee street lights juu utaaibishwa
 
Google gives me this...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…