Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inaonakana baadhi ya Watanzania katika hii thread wanajali zaidi kuhusu yanoyotekea nchini Kenya kuliko Tanzania. Ninapo pitia thread za Jukwa la siasa siwaoni vifaranga wa Magufuli Kama Annael na ichoboy. Lakini nikifika katika sehemu ya Kenya wanaonekana usiku kucha.
 
Talk of being obsessed with Kenya
Cc. Barbarosa
 
1. Tutake ladhi. Kutuita vifaranga hili ni tusi kubwa. Kwa watu wenye busara hawawezi kukutilia maanani point zako maana tayari ni za kijinga.
2. Kuna mambo ya local na international. Kila mmoja anafanya kwa wajibu wake. Wewe umejiunga karibuni tu. Fuatilia thread za Annael utazielewa vizuri.
3. Wewe kwa muono wako unahoja ya maana sana kutuzidi sisi? Kumbuka hii thread imeweka heshima kubwa baina ya Watanzania na Wakenya. Hakuna dharau za kipuuzi puuzi. Kama tumefanikiwa kwa hilo hatuna budi kupongezwa.
4. Mambo ya kujadili watu binafsi ni utoto tulishaucha miaka mingi iliyopita. Naona mwenzetu bado unaendekeza utoto. Tunajadili issues.
 
Kwa hiyo unataka kuwapangia cha kupost?
 
Aah... There you are. Just stick with it. Ama unataka kufikia the required number of posts per day aje?
 

Kama ungetaka kujadili issues basi ungejadili jinsi ambayo Magufuli anaiharibu nchi. Karibu katika Jukwaa la Siasa ujionee na tujadiliane.
 
Kama ungetaka kujadili issues basi ungejadili jinsi ambayo Magufuli anaiharibu nchi. Karibu katika Jukwaa la Siasa ujionee na tujadiliane.
Anna ni mpuzi wa kiwango cha PhD. Threads zake zote ni za uchochezi na kuhusu Kenya, Kenya, Kenya..... Kenya Wins all the time.
 
Kama ungetaka kujadili issues basi ungejadili jinsi ambayo Magufuli anaiharibu nchi. Karibu katika Jukwa la siasa ujionee na tujadiliane. Jukwaa la Siasa
Sasa wewe ndiye unanichagulia cha kujadili? Ninaongea tu kwa kukustahi maana bado mgeni. Nimekueleza fuatilia comment zangu since I joined JF. Wewe anzisha thread kokote yenye maana nitatia maguu. I don't discuss people my friend. Ukileta thread ya kumjadili mtu sitatia neno.
 
Anna ni mpuzi wa kiwango cha PhD. Threads zake zote ni za uchochezi na kuhusu Kenya, Kenya, Kenya..... Kenya Wins all the time.
We done with you. Tumeshamaliza kila kona tumepiga. Hakuna jipya from Kenya. Kwa kuwa mmeanza kuwa na heshima tutaanza kuongea. Mkileta dharau tunawabadilikia. Show respect utaona uzuri wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…