Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,227
- 107,854
Fees huwa hairudi ukijitoa!kwan ulikua una expect waweke vipya 🤣 🤣 , si tulishasema wanafanya color mixing, hii project inatumika tu kuclean money no wonder mpaka sasa hata fees hawajalipa
NON REFUNDABLEFees huwa hairudi ukijitoa!
Fees sio issue sana as kenya ni viwanja 2 tu ndo vitatumika, which can be replaced by FUMBA na dodoma ama kimoja tz na kingine ugandaFees huwa hairudi ukijitoa!
https://www.facebook.com/ni mda sjaona daily dose, however Kwa mkapa nna news siti zinangolewa
Namaanisha GOK inajua haiwezi ku-deliver so wana-avoid risks!Fees sio issue sana as kenya ni viwanja 2 tu ndo vitatumika, which can be replaced by FUMBA na dodoma ama kimoja tz na kingine uganda
sku izi amna Daily dose 🤣🤣
sku zote wazungu weusi sio wa kuwaamini, wamekaa kama wanaijeria wezi wezi tuNamaanisha GOK inajua haiwezi ku-deliver so wana-avoid risks!
Museven si mjinga! Ana intelligence ya hali ya juu kuona kama Ukunduni wanaweza kuji-finance au la!Kja dar kimyakimya aka-sign MOU kuhusu SGR kupita Tanzania!Geza Ulole si alisema apa mnabebwa ufala haya sasa
View: https://x.com/KenyanSays/status/2029031687221338547?s=20
m7 mtu wa maaana kabisa, kwanza aliishi tanzania, kuna sku alikua anatoa speech anavotaja mikoa ya tanzania sasa 🤣🤣 kama mbongo, infact anagonga ngeliMuseven si mjinga! Ana intelligence ya hali ya juu kuona kama Ukunduni wanaweza kuji-finance au la!Kja dar kimyakimya aka-sign MOU kuhusu SGR kupita Tanzania!