Mdogomdogo towards Burundi and DRC wakati wengine bado wana revisit sites za route ya SGR😁
Fiscal space hata ya kununua dawa tuu hawana ndio itakua SGR. You need a real GDP economy to do that sio mchezo mchezo tu wa maneno kisa election.Wamesema wanajenga SGR yao kwenda Malaba kwa fedha zao! GoK chini ya Ruto n co!
I feel pity for SGR sijui cargo transportation cost itakuaje maana hakuna namna zaidi ya ku revise cost upwards. Hapo ndio unaona faida ya electric train powered by own gas and hydro electricity sources. kama wewe ni investor unahitaji predictable and stable costs za production kwenye forecast zako utaunga reli ipi hapa?we are open wakenya, njooni mimport CNG
View: https://x.com/sholard_mancity/status/2028382281258487982?s=20
Alivyo mjinga anafikiri Doula haina Sea port. it is cheaper to go round the cape than using land to and fro Doula/Lamuati to south Sudan n central Africa to Duala, Cameroon? keep dreaming hata Kisumu haitafika in the next five years! kumbuka hata Lamu pipeline from Lokichar is no more! As investors have abandoned the project!
Circumstances are changing with the shifting political realities… stay tuned !
Soon utasikia the whole country engulfed by power shedding.
yaani kwa bei hoyo bado haija hit the roof mbona kutakuwa shida sana siku za usoni duh.
Part of the 50k + length of tarmac roads.
Upo dear. umepotea sana kipenzi 😁🤣 🤣 🤣
Hatoki mtu hapa man to man marking 😁wanatafuta sababu ya kukacha Afcon 2027!
Anatishia Nyau tuu. Huyu kidume bado sana hana uwezo wa kuwachosa wababe wa Dunia.
Ukweli usemwe, Kenya ndio nchi chafu zaidi hapa East Africa
Nairobi ishawahi kua the dirties in africaUkweli usemwe, Kenya ndio nchi chafu zaidi hapa East Africa