Dunia ina nchi zaidi ya 190, ni bendera ya Bongoslum tu ndio waliona? π π π
Na wala sitakuelewesha nakuacha hivo hivo ili huo ujinga ukuaibishe siku moja.Dunia ina nchi zaidi ya 190, ni bendera ya Bongoslum tu ndio waliona? π π π
Haitaki hasira, hii sio mara ya kwanza meli imepatikana ikifanya illegal activities na bendera ya bongoslum. You love aiding illegal activities in the high seas ndio maana wanapenda kutumia hio bendera yenu kila mara.Na wala sitakuelewesha nakuacha hivo hivo ili huo ujinga ukuaibishe siku moja.
Nakumbuka wakati wa vita vya kagera JWTZ waliweza kuiongoza Military transporter plane iliyotoka Libya kuja kumsaidia Nduli Iddi Amin ikiwa imebeba wanajeshi wa Libya na Silaha kuanzia anga la Ethiopia, Kenya mpaka Kilimanjaro Airport na kuwaweka chini ya ulinzi mateka wote na silaha zao walizokuwa wanamletea Nduli. Maana waliaminishwa wanatua Entebbe kumbe KIA mpaka leo hili tukio ni mojawapo ya modules kwa MOSSAD.Jeshi letu ndilo lenye historia iliyotukuka Africa, in: wars, covert operations, regime change, coups, leadership.
Na ndio nchi regarded as sub-imperial power in Africa.
I will substantiate all the above na ushahidi wa kutosha.
sidhani kama wana funds za kujenga yote kwa wakati mmoja ndio maana wameanzia Tunduma!Badala ya kujenga hii Barabara Kwa vipisi vipisi Kwa nini wasi engage contractors wa kutosha kuipanua yote? ππ
View: https://www.instagram.com/p/DVNeN7_DHvn/?igsh=a2UxOHR5bnljYnZx
Mimi nilidhani all this time nyinyi ni exporters wa sukari kwa hizi kelele zenu. π€£ π€£ π€£
nyie ni exporters au re-exporter? Au unataka kudai nyie mnajitosheleza?Mimi nilidhani all this time nyinyi ni exporters wa sukari kwa hizi kelele zenu. π€£ π€£ π€£