diamond anatoka kwa juhudi zake ndio maana anamiliki nyumba mpaka nairobi, SA na dar ndio usiseme ananyumba kibao za maana, hali kadhalika Alikiba ananyumba nyingi dar na ananyumba uingereza so mafanikio ya wasanii wetu yanatokana na juhudi zao.asante kilaza wa Dar😀😀
Hao wenu wamefika wapi,pamoja na kufanya video hapo kwenu?wasanii wanaojivunia watz wote wapo afrika kusini wametoroka umaskini...afadhali waimbaji wa Kenya wanapiga video zao humu na kuishi humu😀😀😀kina Kiba wamefinyana kule kana kwamba ni viberiti😀😀
sasa unabisha nini???ati mega market😀😀😀😀
Tatizo huna hela,utawekezaje!!!nataka tu data za stock market...pengine naweza kuwa mwekezaji
nikupigie picha uamini? lgacy siwez nikapanda ndugu.... hata gizani sipandi[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukute hata carina/paso huna...
hela zipo bro usiw na shaka....Tatizo huna hela,utawekezaje!!!
niliskia kwa wenzangu...mimi huwa nala njugu za tropical heat[emoji2] [emoji2] ulijuaje zinaungu,kumbe uloishaonja!!!
stock market ya Nairobi ndio kubwa kabisa ukanda huu,...ndio maana nabisha...we kilaza au? ama unabisha?sasa unabisha nini???
Legacy machine bana ata jamaa zang wenye bmw nafukuzana naonikupigie picha uamini? lgacy siwez nikapanda ndugu.... hata gizani sipandi
wana hela chungu nzima...kina prezzo na jaguarHao wenu wamefika wapi,pamoja na kufanya video hapo kwenu?
Kama una mwenzio anakula,inatosha.niliskia kwa wenzangu...mimi huwa nala njugu za tropical heat
Pwahaha umenikumbusha nilipokuwa mchanga class 7...kuna jamaa likuwa napenda sana ku park lgacy yake kwetu ila hakuwa akiishi pale....Lgacy ni gari ya zamani sana kaka...Legacy machine bana ata jamaa zang wenye bmw nafukuzana nao
Hawana pesa ya kwenda kufanyia video nje ya nchi, Jaguar alijaribu, lakin mziki haukuwa mzuri, biashara ikamshindaHao wenu wamefika wapi,pamoja na kufanya video hapo kwenu?
Hamna gar isio ya zaman kama umejisahau[emoji23] [emoji23]Pwahaha umenikumbusha nilipokuwa mchanga class 7...kuna jamaa likuwa napenda sana ku park lgacy yake kwetu ila hakuwa akiishi pale....Lgacy ni gari ya zamani sana kaka...
legacy ni ya mwaka upi ndugu?Hamna gar isio ya zaman kama umejisahau[emoji23] [emoji23]
toleo ndio humata...sasa sijui utachomokea wap,subaru ndio habar ya mjn
Hata benzi ni gari ya zamani.kwani kuna kampuni ya magari imeanza kuzalisha mwaka jana magari unaifahamu???Pwahaha umenikumbusha nilipokuwa mchanga class 7...kuna jamaa likuwa napenda sana ku park lgacy yake kwetu ila hakuwa akiishi pale....Lgacy ni gari ya zamani sana kaka...
Hii ya 2007...awd ni gar inamfaa kijanalegacy ni ya mwaka upi ndugu?