AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,087
- 2,918
Just show me one fan who used your BRT during CHAN tournament. Nimekwa pale nangoja.
Inaelekea haujui BRT ni nini!? Ule ni mfumo ambao unajumuisha Barabara na magari. Hivyo wachezaji wanaweza kutumia private busses ila wakatumia njia ya BRT kuepuka foleni. Sio mpaka kufunga njia kama huko kwenyuu