Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kupenya kwenda wapi wewe???

Unajua hata china majolity wanaongea lugha gani???haya kapambanishe kalio lako kwa china na kiingereza chako kizushi.
ushamba ndio mingi...ndio maana the best english speakers wenu ni akina diamond....jamaa hawez hata sentensi moja...sijui mnafunzwa nini nyie bongolalaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
vipi lakini kuhusu waimbaji wanaoweza kutunga nyimbo kwa kiingereza? hamna variety...nyot mnaimba lugha moja...very boring
some of your music artistes speak good english than granddaughters of queen elizabeth.

cha ajabu,event organizers wenyu wanawatumia kama curtain raisers kwenye matamasha yenyu ambayo mtz amepangwa ku-perform kwa lugha ya kiswahili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ushamba ndio mingi...ndio maana the best english speakers wenu ni akina diamond....jamaa hawez hata sentnsi...sijui mnafunzwa nini nyie bongolalaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Angalia sasa ulivyo kilaza.

Diamond anafikiwa na msanii gani hapo kwenu kipesa,na viingereza vyenu???
 
Nothing more, nothing less..they have surrendered to Tanzania in music, medical and tourism industries, next are manufacturing and transport and logistics sectors.
we will control each and everything in kenya...from entertainment to their daily needs.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
pole sana LDC dweller...chokoraa wa Nairobi anazungumza kiingreza bora kuliko wewe hapo mzee wa miaka 70πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
we will control reach and everything in kenya...from entertainment to their daily needs.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
alafu msisahau omba omba wenu...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€muwajie pia albino waliotorokea KenyaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
chakula mbona tunanunua tu Brazil ama Uganda? muhimu ni kukuza uchumi....kujinasua toka kwa uLDC...maskini wa kutupwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] unanunua chakula utakuzaje uchumi????au hujui kanuni za nchi zilizoendelea zinafanyaje???

Kaeni msherehekee kuwa low middle income na mtaishia hapo,maana mahitaji muhimu kama chakula mnanunua hamjitoshelezi.
 
Angalia sasa ulivyo kilaza.

Diamond anafikiwa na msanii gani hapo kwenu kipesa,na viingereza vyenu???
wasanii wapo sio tu lazima waw waimbaji...tuna Lupita Nyong;o, tuna wachezaji soka wengi kama Wanyama...pia wale ni wasanii...we pimbi nini? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ndio maana hamuwez mkapenya kote duniani....broken english tu ndio mnajuaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kaka blaza washamba!!

Pwahahahaha...kweli mnaishi hivyo ndio maana omba omba wamejaa kote Nairobi...mnaishi mbinguni πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

WIFI zipo tu kila mahali ndugu....hapa nilipo zimejaa kote

ushamba ndio mingi...ndio maana the best english speakers wenu ni akina diamond....jamaa hawez hata sentensi moja...sijui mnafunzwa nini nyie bongolalaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


chokoraa wa Nairobi anazungumza kiingreza bora kuliko wewe hapo mzee wa miaka 70πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

povu la hasira...[emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
LDC inawanyima usingizi wakenya...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…