stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,791
- 15,677
unahesabu na barabara ambazo hazijaisha kadanganye wehu wenzako huko kibera.The longest dual carriageway currently is Nairobi -Kenol at 139km. Hizo zingine ni ndogo.
hadi uganda wana electric train
View: https://youtu.be/nwLtX6fj4HI
sasa hii mkebe inaconnect na nani?
View attachment 3536547
sasa burundi na uganda na congo wote wanatumia za umeme sasa hao sjui wataenda wapHuu mkebe utakuwa unaishia Malaba tuu wasije wakachafua mazingira ya Uganda