Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

God, huu uwanja ni mzuri aisee 🔥🔥🙌
1769428314255.jpg
 
kuna kitu amegundua roho inamuwasha kuona viwanja vitatu vya 30,000, 32,000 na 36500 seats capacities vinajengwa!
Wote tunajua viwanja vya Kenya vitakuwa useless baada ya AFCON kuisha ndio maana wanaona wivu kuona Tz tunajenga viwanja maana wanajua sisi viwanja vyetu tutavitumia sana
FB_IMG_1769410085049.jpg
 
kwahio Teargass mashabiki wa moroco watapanda hizi kwenda uwanja, yaani wakina brahim diaz, hakimi watapanda hizi zenye kunguni kwenda kuangalia match sehem ingine 🤣 🤣 🤣
1769429527610.png
 
Kenya wanakopa sana, halafu hela zinaishia kwenye white elephant projects kama Talanta na wanajua ligi yao ni terrible. Hilo listadium libaya likubwa sijui watalitumia kufanyia nini AFCON ikiisha😂😂
si wanaona wakina m7 na tz kujenga vidogo vingi hawana akili
 
Tungepost sisi ungeanza kusema ghorofa ni fupi, mara halifiki 10 floors
Sasa ona hilo jengo la Kisumu lilivyo fupi, lakini bado ni beautiful. Ndio muelewe for a building to be beautiful it doesn't have to be a skyscraper
Do you even know what county assembly is?

In short ushaiona parliament yenye ni skyscraper?
 
Back
Top Bottom