Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


View: https://x.com/ltn_sports/status/2014683921737277505?s=20
1000015631.jpg
1000015630.jpg

1000015632.jpg
 
Kabisaa na zanzibar Arena 36,000 seats U/C!
Uwezo wa kuandaa AFCON wenyewe tunao.
Pia Tuna timu ya taifa ya wanawake nzuri, tunatakiwa pia kuomba kuandaa WAFCON.
1. Mkapa Stadium - Dar Es Salaam
2. Arusha Stadium - Arusha
3. Zanzibar Arena - Zanzibar
4. New Amaan Stadium - Zanzibar
5. Dodoma Stadium - Dodoma
6. Gombani Stadium - Zanzibar
7. Uhuru Stadium - Dar Es Salaam
Pia na Mwanza pale Kirumba wakifanya renovation ya nguvu kuuboresha itakuwa safi sana.
 
Back
Top Bottom