Interior paintings ongoing at Talanta Stadium.
View attachment 3534123View attachment 3534124View attachment 3534125
What's special about this? Mombasa Port handles 3× what Dar is slum port does.
Aawapii na viti vya watchieee! Modernity is a term that is inexistent to Ukunduni!
Show us your modern stadium.Aawapii na viti vya watchieee! Modernity is a term that is inexistent to Ukunduni!
View: https://youtu.be/oaz7oadk208?si=k-H3lxBrS5rIrWtC
View: https://youtu.be/foY58wPKtT4?si=9FguI7A82TBSL89O
View: https://youtu.be/5ksRYnVOjkI?si=ZIY3xvfB_gNjJpb7
MY TAKE
Hivi mbona tuliomba ku-partner na hizi Burukenge? tusi-host wenyewe?
View: https://youtu.be/oaz7oadk208?si=k-H3lxBrS5rIrWtC
View: https://youtu.be/foY58wPKtT4?si=9FguI7A82TBSL89O
View: https://youtu.be/5ksRYnVOjkI?si=ZIY3xvfB_gNjJpb7
MY TAKE
Hivi mbona tuliomba ku-partner na hizi Burukenge? tusi-host wenyewe?
Kabisaa na Zanzibar Arena 36,000 seats U/C!Itabidi tuje kuomba tena kuhost wenyewe maana uwezo tunao.
Arusha Stadium.
View attachment 3534199
View attachment 3534198
View attachment 3534197
Tanzania has more than 5 FIFA standard StadiumsShow us your modern stadium.
Uwezo wa kuandaa AFCON wenyewe tunao.Kabisaa na zanzibar Arena 36,000 seats U/C!
Ule wa Mwanza unahitaji maboresho haswa! Una nafasi ya ku-host uwanja wa 40,000-60,000 seats bila shida! Mind u by the time SGR kwenda Mwanza itakuwa tayari!Uwezo wa kuandaa AFCON wenyewe tunao.
Pia Tuna timu ya taifa ya wanawake nzuri, tunatakiwa pia kuomba kuandaa WAFCON.
1. Mkapa Stadium - Dar Es Salaam
2. Arusha Stadium - Arusha
3. Zanzibar Arena - Zanzibar
4. New Amaan Stadium - Zanzibar
5. Dodoma Stadium - Dodoma
6. Gombani Stadium - Zanzibar
7. Uhuru Stadium - Dar Es Salaam
Pia na Mwanza pale Kirumba wakifanya renovation ya nguvu kuuboresha itakuwa safi sana.
Kabisa yaani,Ule wa Mwanza unahitaji maboresho haswa! Una nafasi ya ku-host uwanja wa 40,000-60,000 seats bila shida! Mind u by the time SGR kwenda Mwanza itakuwa tayari!