stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,710
- 15,617
ukunduni walimlamba miguu...
View: https://www.instagram.com/p/DTiI4syD1bm/?e=01ce6275-5c43-498d-a7f4-e86fb7bfb214&g=5
Teargass uyu ndo mlimfanyia mapokezi kabisa 🤣
ukunduni walimlamba miguu...
View: https://www.instagram.com/p/DTiI4syD1bm/?e=01ce6275-5c43-498d-a7f4-e86fb7bfb214&g=5
ukunduni walimlamba miguu...
View: https://www.instagram.com/p/DTiI4syD1bm/?e=01ce6275-5c43-498d-a7f4-e86fb7bfb214&g=5
Kwa sasa ni Morocco ikifuatwa na SA.you have no idea unachoongea, which country has the most modern stadium in africa?
mkenya kasema hawezi kudie na hajapanda treni ya umemeLakini hakuna jambo limeuma watanzania kama huyu kijana kuja Kenya na kulenga Tanzania. Yani sisi tuliomhost tushaamove on majamaa bado wanamuongelea. 🤣 🤣
ebu nitajie top 10 most modern stadiums in africaKwa sasa ni Morocco ikifuatwa na SA.
i forgot kumbe mpira umeanza kuangalia juzi,Kwa sasa ni Morocco ikifuatwa na SA.
Hukuskia their minister akibembelezana na Speed on WhatsApp aende Tanzania? Jamaa hata hakumjibu😂😂Lakini hakuna jambo limeuma watanzania kama huyu kijana kuja Kenya na kulenga Tanzania. Yani sisi tuliomhost tushaamove on majamaa bado wanamuongelea. 🤣 🤣
Kwani Mimi mi nyanyako?ebu nitajie top 10 most modern stadiums in africa
we mpira umeanza kuangalia kipindi cha CHAN ndo maaana unaona talanta ndo the best satdiumKwani Mimi mi nyanyako?
 s
Sincerely, Walenya ni wabaya sana na ni ngumu sana ku-identify gender huko kwao.
View: https://x.com/ntvkenya/status/2012027041185743347?s=20