Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

As usual, a worse version of Lake Natron πŸ˜‚πŸ˜‚
Nioneshe shifting sand huko Kenya kama huu wa Ngorongoro ambao unatembea 17m per year
 
kwani waliweka hilo jina? mimi kusema kweli sioni umuhimu wa kuweka majina kwenye miundombinu iliyolipiwa na kodi ya Watanzania!
Hata mimi sikupenda walipoamua kuweka majina ya viongozi, ila baada ya maanuzi, Magu hawajamuweka, kama walivyofanya kwenye daraja la Tanzanite.
 
Hata mimi sikupenda walipoamua kuweka majina ya viongozi, ila baada ya maanuzi, Magu hawajamuweka, kama walivyofanya kwenye daraja la Tanzanite.
sidhani kama sgr terminal dodoma wamebadili jina? hivyo ni vitu vidogo mzee jiwe la uzinduzi lina jina la mhusika!
 
Acha utani broπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚so sand Dune less than a square kilometer ndio unasema ni desert!? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... tukue seriouse ... suguta valley KenyaπŸ‘‡
 
Kenya is the only country in East Africa that can reply to that Ethiopian airport going by the number of Air traffic we have. JKIA alone handles 3 times the number of traffic handled by all Tanzanian airports.
you are aware KQ has been making loss for 20 years?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…