Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa bila kutoka nje ya Mbeya narudi vipi nyumbani? When Nairobiwalker spoke about brain transplant I think he was referring to you 🤣🤣
little high-school nigger trying to be funny. Sasa haka surely ntakafanyaje, ama nimhurumie tu!?...
 
But Tanzania has more beautiful landscape than Kenya. Kitu ambacho kinakupa jeuri kusema Kenya ina more diverse landscape ni hiyo desert ambayo sisi hatuna
Ila our landscape is better and we have far more touristic attractions than Kenya
Sasa wewe surely,unaji aibisha na your fellow country men, huoni unajipiga own gaol my friend!?😂😂😂😂😂...okay let's say "Tanzania has every landscapes and topographical features except deserts", ni topographical feature gani nyegine tz ikonaye kenya haina?😂😂😂😂 apart from deserts, kumbuka kenya has more more lakes and rivers compared to Tz despite the size difference 😂😂😂😂...
 
Sasa nyinyi mna large number of lakes sisi tuna bigger lakes and longer coastline.
Pia Tanzania ni better than Kenya kwenye topographical features, sure kuna vitu tunavyo na nyinyi mnavyo pia but shida ni kwamba Kenya mbavyo vichache. Sisi tunavyo vingi ndio maana Tanzania inawazidi nyinyi wote kwenye touristic attractions
Na si landscape pekee tunawazidi kwa wildlife, beaches, greenery, beautiful lakes, fertile soil, minerals etc. In short when it comes to nature Tanzania ndio imebarikiwa zaidi hapa East Africa
 
Chill nioneshe somewhere like Ngorongoro Crater in Kenya
Kumbuka hii ni crater kubwa na wanyama wanaishi humo ndani
 
Alafu I'm not 100%sure but kenya, Morroco,Namibia and Egypt are the only places on the continent where the desert meets ocean ...
Dubai,UAE❌️
Sandwich harbor,Namibia❌️
Dakhla, Morocco ❌️
Mambrui, Kenya✅️
 
Can you prove your point my friend?, tuwachane na gause work ndugu yangu😂😂😂... najua unatetea nchi yako but tuende na facts, sawa!?...
 
Naona umeanza kuwa serious, I like that👏... umeanza ku battle na proof na sio emotions,uzalendo na delusions.Down below is marsabit and Mount Longonot Crater, home of a number of biodiverse creatures...
 
Can you prove your point my friend?, tuwachane na gause work ndugu yangu😂😂😂... najua unatetea nchi yako but tuende na facts, sawa!?...
Nini cha kuchekesha hapo? Naongea facts
Kama ni wildlife hamtufikii; Serengeti, Ngorongoro, Katavi, Ruaha, Gombe, Mikumi, Tarangire, Saadani nk. Sisi huku national park zimesambaa from North to South to East to West. 10% ya simba wote Africa wanapatikana hifadhi ya Ruaha pekee
Kama ni coast hamtufikii; Zanzibar City, Pemba, Mnemba Island, Tanga, Dar es Salaam (hapa kuna islands kama Sinde and Bongoyo), Pwani, Lindi na Mtwara
Sisi tuna 3 biggest lakes of Africa; Victoria, Tanganyika na Nyasa (Lake Malawi) zote zinashikilia world records na bado tuna lakes nyingine huko kama Eyasi, Rukwa, Burigi, Ngosi na Natron ambalo nalo lina maajabu yake mengi ya kuvutia
Kama ni milima hamtufikii, kuanzia Kilimanjaro, Meru, Oldonyo Lengai (Active Volcano), Uluguru nk
Tuna maeneo kama Mwanza ambayo yamejaa miamba (rocks) everywhere, including the famous Bismarck rocks

Islands; Ukerewe, Unguja, Pemba, Bongoyo na Mafia (hapa kuna best diving experience kuliko anywhere in Kundustan)

Maeneo ya kijani yenye rutuba na mvua nyingi hapa Tanzania ni mengi sana, we have only few semi arid places which are fertile too
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…