The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Tangu lini Kenya ikafuata render?????
Kama daladala mwanangu ππππππ
Kama daladala mwanangu ππππππ
NairobiWalker huyu Watchman ako stage gani kwa sasa?πππYani wakenya hawajawahi ku comply na standards zozote katika kitu chochote wanachopanga kufanya au walichofanya, lazima kuwe na indicators za kijuakali ππππππππView attachment 3527034View attachment 3527035
Hapana, last time wametoa update ujenzi ulikuwa 2%Ila mkuu nahisi kama ule uwanja wa Dodoma ndo wameuhamishia zenji!!!!
Inaonekana hii picha imewapenya kweli kweli maana wana rusha mawe tu. πππNaona mnuka nya kapigwa na kitu kizito πππππππππ
View attachment 3527023
Alright I have established one character from you and I think Iβm done here.
Here is a description about people like stakehigh
View: https://www.instagram.com/reel/DTEiIJ2CW_x/?igsh=dG16NHJoNnl5azJ6
turubai made in Ukunduni!Nimeona wanaweka na βAffordable roofβ πππ
inakaa soccer stadiumHivi hii ngoma ni football stadium au ni Olympic stadium?View attachment 3527020
Hiyo inaitwa bargaining. It precedes depression. π π
πππ.Hiyo inaitwa bargaining. It precedes depression. π π
Hiyo evidence pelekea your grandchildren.Kisirani imemea majani unataka evidence?
So, Dodoma ushaanza kujengwa?Hapana, last time wametoa update ujenzi ulikuwa 2%
Ndio wameanza.So, Dodoma ushaanza kujengwa?