Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

utajua hujui:
View: https://x.com/WillieOeba/status/2007403103960870920?s=20
 
Zilikuwa nyama tamu sana, mpaka leo sijaonja nyama kama ile.
 
Zilikuwa nyama tamu sana, mpaka leo sijaonja nyama kama ile.

yeah halafu kinachoumiza zaidi adamjee (mbunge wa kawe) alifungua mitambo yote na kwenda kujenga kiwanda nje ya nchi nyingine akauza kama srap metals, kiwanda kilitoa ajira direct na indirectly kwa maana ya wafugaji, ngozi mpka wasafirishaji wa mifugo, treni ya mizigo ilikuwa na behewa maalumu la kusafirishia wanyama, hiyo chain yote ambayo ni ajira nzuri tumeua, leo hii ni sehemu ya kuchongea midomo na blah blah ...
 
US Special Forces conduct surgical strikes against Venezuela and captured President Maduro and his wife .. wow!.. that’s some incredible operation. Cuba 🇨🇺, Colombia 🇨🇴 and Mexico 🇲🇽 could be next. Drug trafficking must end in American hemisphere. That’s the new Trump doctrine.
 
For those curious .. The operation involved the CIA Tracking Team and then President Trump gave the order which was executed by what considered as the best Tier 1 commando unit on the planet ( US Army Delta Force )… actually more deadly than SEAL Team 6 (DevGru) that captured Osama Bin Laden .. Delta Force are the US top Special Forces Group and even the US government does not officially acknowledge their existence publicly . How they captured an incredibly guarded President and his wife will forever remain classified outside of those need to know. Unfortunately Delta Force operations are always clouded in mystery. No other nation could have conducted such an Operation.
 
Inasikitisha sana, kutokuwa na viongozi wasio na dira, kiwanda kama kile kitakufaje na uhitaji tulionao?

Viongozi waliokuwa vijana wakati kiwanda kinafanya kazi, wanajua hata utamu wa juisi za Tanganyika packers zilivyokuwa. Sasa wamegawana kila kitu, Kikwete kajigawia zile nyumba zilizokuwa za mabosi wa Tanganyika Packers, zile zilizokuwa nyuma ya kawe club, zenye eneo la zaidi ekari tano kuelekea bichi.
 
This will be among the top modern stadiums in Africa and definitely the best in the region. There are several elements within Talanta itself that will be a first in the region . Hata NFL might consider bringing a match or two of American football ( like they do in Europe and Central America)..
 
Kwahiyo Ukunduni mvua haiharibu barabara?
 
One at a time
Those units can take up like 10,000 or more people. Once absorbed, their shacks will be demolished to create space for more units. This applies to all the other slums including Mukuru. Soon, our neighbors dream comeback for everything Nairobi will be jo more, I don’t know what will save them

View: https://x.com/williamsruto/status/2007360394697056620?s=46
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…