I expected this kind of response from a nyang'au π€£π€£π€£Yet you have never won a single game at AFCON. π€£π€£π€£ Basi itabidii mushinde Morocco next round.
Hate watch failed. πππI expected this kind of response from a nyang'au π€£π€£π€£
Na wajue hii ni AFCON sio CHAN. πππYanakwambia stars haijawahi kushinda mechi hata moja ya Afcon, lkn yaulize timu yao ilifika wapi Afcon, leo stars inaibeba east Africa kwa kutinga round of 16 πππππππ
Nakwambia yameumia kweli kweli, huwezi kuyaona kwa sasa, yamejificha yanasubiri kwa hamu mechi ya stars na Morocco ili yaongee, but hayawezi kuepuka ukweli kwamba tumevuka ππππππNa wajue hii ni AFCON sio CHAN. πππ
Kikubwa imeshaandikwa Tanzania imefuzu 16 bora. πππNakwambia yameumia kweli kweli, huwezi kuyaona kwa sasa, yamejificha yanasubiri kwa hamu mechi ya stars na Morocco ili yaongee, but hayawezi kuepuka ukweli kwamba tumevuka ππππππ
Vijamaa vilikuwa kwenye TV vinashangilia Tunisia maanake wanajua hadi Tz inacheza na nani wakati mimi nilikuwa hata sijui.View attachment 3522930
ππππππππππππππ
Leo wameumia kweli kweli, huwezi kuwaona. Tuliwaambia Tz ni footballing nation wakabisha, leo hawana cha kuongea, na hii tutawachapa nayo miaka nenda rudi mpaka Yesu arudi mana wao hawana uwezo wa kufika group stage π π π π π π π π π π π πVijamaa vilikuwa kwenye TV vinashangilia Tunisia maanake wanajua hadi Tz inacheza na nani wakati mimi nilikuwa hata sijui.