Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,153
- 107,721
ni huzuni, wacha waje na picha za NBO
wakina nairobi woka wamekaza fuvu
hapo mbna pasafi fuatilia page ya mosiria kabla ya kutolewa kwenye wazifa wa mazingira mbna utalia mwenyeweBinadamu anawezaje kuishi sehemu kama hii 😂😂
View attachment 3522403
Geza Ulole.
Hivi hii ngao kwenye bendera yenyu, asili yake ni kabila gani?
Big and ugly 🤮
WanyamweziHivi hii ngao kwenye bendera yenyu, asili yake ni kabila gani?
Sema tu ni maumivu 🤣🤣🤣Big and ugly 🤮
Huwa mnajifanya sana ni kama hamna ngao kwa coat of arms.Hivi hii ngao kwenye bendera yenyu, asili yake ni kabila gani?