Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Attachments

Rudi darasani kaka ukajifunze siasa. Siasa za kuchafua watu ni za watu amateur. Umaarufu unatakiwa uujenge kwa kutumia msingi wako mwenyewe, siyo unajenga umaarufu kwa msingi wa kuwasimanga watu wengine.
 
Tofauti ya Mbeya na Bondo ama Siaya ni nini? Yet those two places are barely considered towns in Kenya.
Ooh sasa nimeelewa
Ukitoa dissing sio kweli kwamba Mbeya ni kama Bondo au Siaya.
Mbeya ni developed city na ni mji mkubwa umetanuka, Mbeya ina miundombinu mingi sana ila ipo scattered, kama miundombinu yake yote ingekuwa concentrated city centre basi ungeona skyline ya tofauti sana

Lakini fact ni kwamba, Mbeya ni jiji kubwa takribani 250km square, hii ni kaka 1/3 of Nairobi na population ni around 600,000 people

High school nimesoma Mbeya na sasahivi University nasoma huku so najua vizuri ninachokisema, Kutoka Iwambi hadi Uyole ni 22km na bado hii ni ndani ya city.
Kuanzia 2023 hadi 2025 May huu mji haukuwa na ujenzi mkubwa sana, but this December nimerudi nimeona kila sehemu wanafanya construction, kuanzia malls, hotels, schools, hospitals, roads etc ni kama mji umeamka ghafla. Within next 5 to 10 years Mbeya will be something else.
Na hata sasa naweza kukutajia vitu vilivyopo Mbeya, huko Bondo au Siaya hakuna.
 
This is Mbeya, if this is what you call a city then you have a long way to go.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…