Kenya is under construction. Currently it’s hard to keep up with what’s happening in the country, the transformation has begun. It seems Ruto is really serious about this ‘Singapore’ vision.
Naona umekuja kujifariji baada ya wenzako kukimbia huu uzi na kupotelea mbaliNimekuja kukumbushia tu kuhusu hili eneo😂 Anayekumbuka maneno ya Mkundustan flani amfikishie ujumbe.
“LAND INFORMATION IS DYNAMIC OVER TIME”
Atukumbushe na ile picha yake inayompa amani😂
View: https://www.instagram.com/reel/DQMiMkviCt9/?igsh=MXAycTZyZmZoZ3Q4aA==
View attachment 3512188
Umeangalia hio video? Hayo mabasi ni full ac yanapita kila dakika 3 na yanatoka Kivukoni/Gerezani hadi Mbagala . Mbagala uswazi wana usafiri bora kuliko Kenya nzima.Naona umekuja kujifariji baada ya wenzako kukimbia huu uzi na kupotelea mbali
Any links for these?2026 will be the beginning of a game changer for Nairobi . Addis Ababa has woken up Nairobi .. Noway Nairobi will relinquish her position as the regional skyline giant… soon to grace upperhill .. 75 and 80 floors respectively.. goodbye Dar !..😁
View attachment 3511813View attachment 3511814
Hawa jamaa wanaendesha haya mabasi kama inavyotakiwa. Natumaini si nguvu ya soda. Nauli nasikia ni 1000/- wakati Kimara ni 750/- na Mbagala ni karibu kuliko Kimara kutokea Posta/Gerezani. Ila naunga mkono 750 ni ndogo na ni moja ya sababu phase 1 kuwa ya hovyo.Nimekuja kukumbushia tu kuhusu hili eneo😂 Anayekumbuka maneno ya Mkundustan flani amfikishie ujumbe.
“LAND INFORMATION IS DYNAMIC OVER TIME”
Atukumbushe na ile picha yake inayompa amani😂
View: https://www.instagram.com/reel/DQMiMkviCt9/?igsh=MXAycTZyZmZoZ3Q4aA==
View attachment 3512188
Sawa mtoto wa mama SHUmeangalia hio video? Hayo mabasi ni full ac yanapita kila dakika 3 na yanatoka Kivukoni/Gerezani hadi Mbagala . Mbagala uswazi wana usafiri bora kuliko Kenya nzima.
Kwisha habari yenu sasa hivi wakenya wanapumulia mpira tu. Mchezo umeisha mmebakia kuwa wapiga kelele kwenye social media tu.Sawa mtoto wa mama SH