Hii picha inaelezea moja ya geographical feature inayosababisha watu kukusanyika na kutengeneza mji. Valleys hua ni chanzo kizuri cha maji na huwa na fertile land.Voi in Taita TavetaView attachment 3508043
Propaganda za kitoto hizi, tetemeko kdg tu limei expose CCM ya sasa kwamba ina vilaza wengi wasioweza kufikiri.Swali zuri sana hili. Na hawa hapa ndio waliolipwa pesa kuichafua Tanzania. Wamekunja pesa ya haja
View attachment 3507765
Maxence Melo muondoe huyu anaichafua platform yako adhimu, anasema eti ulilipwa kuchochea maandamano yaliyopelekea maelfu ya watanganyika wasio na hatia kuuawa.Swali zuri sana hili. Na hawa hapa ndio waliolipwa pesa kuichafua Tanzania. Wamekunja pesa ya haja
View attachment 3507765
Terrorism huwa inakuja baada ya udini udini ukikomaa ndo huzaa makundi ya kigaidi inamaana kwa kenya udini ulikomaa sana mpaka ukazaa ugaidiBro, there is a difference between terrorism and religiosity. You're dumb.
What that Madenge lichosema ni ujinga kujastifai msimamo wa serikali kwakua kalipwa.Swali zuri sana hili. Na hawa hapa ndio waliolipwa pesa kuichafua Tanzania. Wamekunja pesa ya haja
View attachment 3507765
anaacha kujadili udini wa kweli uliotokea garrisa na wastgate anaoukoteza vimaneno YouTubeNamalizia kukueleza mara ya mwisho.
Hao watu wamelipwa kuleta michezo ya kisiasa sisi wenyewe raia tumeshawakataa.
BIla shaka naongea na mtu mzima hivyo wacha nikuache.
Sikiliza Wakenya wenzakoI'm glad you're okay.
Ila mpunguze udini nyinyi watu.
View: https://youtu.be/38BwAOSvWvo?si=Au6bgZiWoG3EtPnH
Sio tu Wakenya, anguko la Samia limesaidiwa na wanaharakati wa Tanzania, wananchi wa Tanzania waliotoa ushirikiano, kwa Kenya kuna mchango wa Larry MadowoCCM wako na Safari... Hii dunia ya leo ya smart phone unadhani utafanya Uovu na uepuke.. Bila wakenya huyu mama angewamaliza..Dawa yake ni wakenya...
View: https://www.youtube.com/watch?v=XBv6U3Dpojs
You're absolutely right, in my assignment based on certain signals, I have come to the same conclusion.Maandamano yasingewezekana kama kusingekuwa na rebellion ya kumkataa mama ndani ya CCM. Maandamano haya, kama ilivyokuwa harakati za kumchafua Magufuli thenm kwa 100% yanaendeshwa na wana CCM.
Mzee utekaji haukubaliki kweli iwe ametekwa ccm chadema au asiye na chama kama tusipokemea utekajia maisha na uhai wa mtanganyika utaonekana hauna thamani kama maisha ya wakunyaUlivyo mpuuzi huyo Gwajima ni CCM amekinzana na CCM wenzake.
Na kama haujui kamanda mkuu wa jeshi la polisi ni mkristo.
Mbona makanisa mengine hayajafungwa!?
Embu wacheni kuingiza akili zenu kwenye political affiliated issues.
Thank you. Some of your idiot countrymen are blaming Kenya here.Why should I blame Kenya while CCM is the root cause of the problem!?
Is CCM in Kenya!?
Only a stupid person would do that.
Hivi huwaoni wenzako wakilaumu Kenya humu? Hata mtandaoni huoni?Nafikiri NairobiWalker anakunwa na kujisikia raha akisikia mtanzania ana blame wakenya, kuwa ndiyo waliosababisha vurugu Tanzania ili apate ammunitions za kutubeza na kutucheka.
Tulishamwambia toka mwanzo, hizo blame ni spinning tuu, kama cover up ya CCM.
Hao ni mamluki tu wanaolipwa kwa huo ujinga ila hakuna mtanzania anayeilaumu kenya kwa chochoteHivi huwaoni wenzako wakilaumu Kenya humu? Hata mtandaoni huoni?
Mr. Liker, ni wewe unaiwaza Kenya. Hiyo hapo ni Lake Magadi, sio Natron. Ukiangalia kwa hiyo video unaona mining from the lake. Lake Natron Haina mining yoyote, lake Magadi ndio Kuna mining of soda ash.Hivi kunyaland haiwezi kusimama peke yake bila kuitaja Tanzania na kijinasibisha kwenye mambo ya Tanzania!? Media za kunyaland ni content na habari za Tanzania tu.. asubuhi Hadi asubuhi... January mpaka January...
Bado bloggers na hungered activists wote wa kunyaland ni kubeba mambo ya Tanzania tu... Post kila muda hata muda wa kujisafisha matongotongo hawana...
Na hapa huyu githenjii analeta picha ya lake Natron from Ngorongoro Arusha na kusema ni lake ambayo ipo kunyaland! Kunyaland without Tanzania is finished.
Hivi hujui kusoma ama ni ujinga tu umekaza kichwani?Hao ni mamluki tu wanaolipwa kwa huo ujinga ila hakuna mtanzania anayeilaumu kenya kwa chochote