Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FACT: many of the world's most influential and advanced societies, whether in terms of academia or technology, have been established by individuals who adhere to the Christian faith.

The esteemed reputation of Tanzania can be attributed to the exceptional brilliance and unwavering efforts of one individual, Julius K Nyerere. His remarkable leadership and dedication have played a pivotal role in shaping the nation's and the continent's history, earning it the respect it holds today. Nyerere's extraordinary contributions have left an indelible mark on the country, the continent and continue to inspire generations.

Other faiths are simply doing the opposite: deconstruction.
Siyo kweli. Nyie katoliki tunawaangamiza. Mpaka muanze kuikimbia dini yenu.
 
Siyo kweli. Nyie katoliki tunawaangamiza. Mpaka muanze kuikimbia dini yenu.

Author: Paul Bonaventure
@Phbhimself

"
Kwenye anga la operesheni za kisaikolojia, kitu cha kwanza kinachofanyiwa forensic scan ni chanzo cha tamko, target yake, na intention yake.

Ukiangalia tamko la TEC kwa macho ya kawaida linaweza kuonekana kama statement ya imani, lakini tukitumia lenzi za intel, picha halisi inaonekana tofauti kabisa.

Tamko lile halikuwa la kidini, halikuwataka waumini wachukue upande wa dhehebu, na halikutaja taasisi yoyote ya dini kama adui.

Lilikuwa briefing ya taasisi ya kiroho iliyotimiza wajibu wa kulinda watu wake, si kwa misingi ya dini, bali kwa misingi ya utu na ukweli.

Katika lugha ya ndani tunasema kwamba, Source haikuingia kwenye operation kama sect, iliingia kama conscience of the nation.

Na hilo ndilo lililoshtua baadhi ya wahusika.

Kwa sababu tamko la TEC halikufanya operesheni ya identity mobilization. Halikusema Wakatoliki. Halikusema Kanisa. Halikuweka alama za utambulisho za kidini.

Lilichofanya ni kuwasilisha intel ya uhalisia wa ardhi, ripoti ya kinachoendelea Tanzania kwa sasa, jinsi watu wanavyouawa, kutoweka, kujeruhiwa.

Na jinsi taifa linavyoingia kwenye kile ambacho katika uwanja wetu huitwa national trauma loop.

Kwa lugha ya kitengo cha uchambuzi wa migogoro, tamko lile lilikuwa, Faith based early warning on human security breach.

Na hapa ndipo sintofahamu imezaliwa.

Wale wanaotaka kugeuza kila kitu kuwa vita ya utambulisho wanataka tamko ligeuzwe na kuonekana kama shambulio la kidini.

Ilhali waliojua kusoma alama za intel wanaona kilichoandikwa ni protection alert, kwa raia wanaonyamaza kwa sababu ya woga, si kwa sababu ya imani.

TEC hawakuzungumza kama kanisa walizungumza kama walinzi wa dhamiri za watu wao.

Na katika operesheni ya maadili ya taifa, hilo ni jukumu ambalo halihitaji kibali cha mtu yeyote.

Hivyo kauli zinazojaribu kulichora tamko lile kama propaganda ya dini ni sehemu ya kile katika kitengo cha psychological operations tunaita.

"narrative misdirection" mbinu ya kuhamisha mjadala kutoka maovu yaliyotendeka hadi kwenye utambulisho wa mtoa taarifa.

Lakini hoja inabaki palepale. Tamko la TEC halikutaja dini nyingine, halikutaja kiongozi wa dhehebu lolote, halikutangaza mgawanyiko.

Lilieleza tu kile ambacho raia wanaona, lakini wanaishi kama vile hawakioni kwa sababu ya hofu, vitisho na propaganda.

Na kwenye ardhi ya intel tunajua kanuni moja isiyopingika. Kwamba, unapopaza sauti juu ya majeraha ya taifa, wale walioumiza au wanaonufaika na ukimya ndio wanaopiga kelele zaidi.

Kwa hiyo jitihada za kugeuza tamko lile kuwa mbegu ya mgawanyiko wa kidini hazina msingi ni jaribio la kupoteza umma msituni ili wasiulize maswali ya msingi kuhusu uhalifu uliotokea na unaoendelea.

Katika nchi yenye msongo kama Tanzania ilivyo sasa, sauti yoyote inayosema ukweli bila kificho inaonekana kama mshambuliaji.

TEC hawakuendesha operesheni ya dini.

Waliendesha operesheni ya dhamiri.
Na dhamiri inapoongea, wahusika wa giza ndio wa kwanza kupiga makelele."


View: https://x.com/Phbhimself/status/1991182669057790433
 
Siyo kweli. Nyie katoliki tunawaangamiza. Mpaka muanze kuikimbia dini yenu.
BY THE WAY,

Catholicism stands as the largest of all religions. Its influence can be seen in various aspects of culture, from art and architecture to education and social services.
The Catholic Church has played a significant role in shaping the world we live in today.

The Catholic religion stands out as one of the most significant in the world. Its rich history, widespread presence, global impact, and historical influence make it a formidable force among all religions.
 
Wanajenga na viwanja viwili vya mazoezi vyenye uwezo wa kuchukua mashabiki 15,000 kila kimoja.
Hata kama wanajenga viwwili, bado kiwanja kinakuwa hakipendezi kimtazamo, kwasababu hakirandani na mazingira yanayokizunguka. Na hapa Wakenya wanatuzidi sana katika mpangilio wa miji.

Unaona kariakoo ilivyopangika? Nyumba zote zinausawa mmoja, siyo moja iko tenge, nyingine mstatili. Mjerumani huyo ndiye aliyeupanga hivyo.

Geza Ulole maoni yako yafadhali.
 
It is time something is checked. I have counted about 200 highrise projects above 20 floor in only 4 Nairobi districts, Westlands, Upperhill, Kileleshwa, Parklands. I have realized that other Districts like Riverside are starting to get such. South C has over 20!!! What is happening 🥺🥺🥺🥺
View attachment 3504441
The scary part is they are selling out quick some even before the foundation stone is laid .. Kenya kuna pesa …and this boom is spreading in other parts of the country. Mombasa, Kisumu and Eldoret are leading the charge.
 
BY THE WAY,

Catholicism stands as the largest of all religions. Its influence can be seen in various aspects of culture, from art and architecture to education and social services.
The Catholic Church has played a significant role in shaping the world we live in today.

The Catholic religion stands out as one of the most significant in the world. Its rich history, widespread presence, global impact, and historical influence make it a formidable force among all religions.
Dah.. Mmeongia ubishi wa dini sasa?
 
That's how loans work. Why are you behaving like a toddler?

When you borrow 1000 shillings, you won't return exactly 1000 shillings to the lender, you will pay 1000 plus the accrued interest.

So don't behave like someone who didn't go school.

In terms of construction cost, Talanta Stadium is 45B. That's the amount being used in it's construction.
 
Si napenda mnavyojifariji 🤣🤣🤣🤣

Najifariji na kipi hapo!? Ni ukweli bila nguvu ya Bamburi hapo kunyaland ndoto ya ujenzi ingegeuka kuwa hewa...

Kuna mzalishaji mkubwa wa cement hapo kunyaland kuzisi Bamburi na Kalahari cement?
 
Kwani Bamburi is the only Cement Plant in Kenya?

Bamburi cement na Kalahari cement ndio major players... Kwa karibu 80% ya cement yote inayozalishwa kunyaland.

Na kwanini mnaleta nyeff nyeff kisa nimetaja Bamburi? Shida nini hapo?
 
Back
Top Bottom