Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Muhimu ni kwamba, Tanzania imewasogezea waafrica bullet trains, hamna sababu kwa waafrica kupoteza pesa nyingi kwenda Europe na Asia tena, karibuni sana Japan within Africa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa taarifa yako ile ya Morocco itafanya 320km/hr
 
Kwa taarifa yako ile ya Morocco itafanya 320km/hr
starting speed ya tanzania ni 160 km/hr ila itaenda mpaka zaidi ya 260 km/hr kwa taarifa nilizozipata😀😀

stay cool ndugu usiugue kabisa😛😛😛
 
starting speed ya tanzania ni 160 km/hr ila itaenda mpaka zaidi ya 260 km/hr kwa taarifa nilizozipata😀😀

stay cool ndugu usiugue kabisa😛😛😛
[emoji23] [emoji23] [emoji23] najua ata we mwenyewe huamini ulichokiandika
 
Kwa taarifa yako ile ya Morocco itafanya 320km/hr
Ndege zipo zenye speed tofauti, kuanzia 500km/hr hadi 2000km/hr, zote hizo ni ndege tu, bullet train hazijawekewa minumum speed, kinachofanya ziitwe bullet, ni aina ya train na shape, ambazo kawaida zinakimbia sana, lakini zinaweza kukimbia speed yoyote ile
 
Hahaa okay tungoje
Nitafurahi sana kama next year utakuwepo kwenye ifunguzi rasmi wa bullet train Africa, kati ya Dar-Moro, hii ni fahari kwa Africa nzima, sio kwa Kenya na Tanzania pekee[emoji1] [emoji1]
 
hebu jaribu uone we iringa unaijua vzr wewe😀😀
Nimeona picha ya Iringa hapo juu ndo maana nimekuambia haifikii Kisii kwa ujenzi na ukubwa. Mbona nimekubali kwamba iko na barabara pana kushinda kisii? Hiyo Iringa ni ndogo sana, pengine tuipatie Kakamega
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…