Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Imagine the audacity! 🀣🀣🀣
Ile kijiko nyama of linear development with three towers along the road 🀣🀣
Enyewe watu wako desperate vibaya hapa!
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚I think we owe Germany an apology, inafaa wangebaki wa wafinye kabisaa mpaka akili zao zirudi kureason vizuri ...
 
Alafu Kuna Mbeya "city" mahali 🀣🀣🀣🀣🀣
Wonders shall never cease!
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ...we Nicxie kuna siku utakuja kuniua
 
Alafu Kuna Mbeya "city" mahali 🀣🀣🀣🀣🀣
Wonders shall never cease!
Jiji la Mbeya liliendelea zamani sana wakati huo watu hawakuwa wanajenga nyumba nzuri na watu wa mpango mji hawakujihangaisha kuupanga ndio maana unaona leo hii Mbeya ipo hivyo.
Lakini jiji la Mbeya sio la kulichukulia poa kwa sababu Mbeya hata kama ingekuwa Kenya, ungekuwa ni mji wa muhimu pia. Tatizo ni siasa ndio zimefanya tuchelewe kuuplan huu mji

Lakini jiji la Mbeya lina mapato makubwa, viwanda vingi, universities nyingi, biashara nyingi, population ya takribani watu laki 7, soko la kisasa na sasahivi jiji limeanza kufufuka. Kuna upanuzi wa barabara unaendelea, watu wanajenga nyumba bora sasahivi na NHC soon wanajenga "Mji wa Kisasa" eneo la Nsalaga. Jiji la Mbeya lipo vizuri kwenye huduma za kijamii kuliko miji mingi hapa Africa, tatizo ni haupo organised na ni poorly plan
Ila kupitia mpango huu wa NHC jiji la Mbeya litabadilika sana in the near future

View: https://youtu.be/ykyQnMg-v3w?si=wpndqHlKQE9gTa4a
πŸ“· Mbeya
 
Tukiambia hawa wachawi wanafuatilia Kenya Sana wanakataa kukubali.

Sasa ona their celebrities have become bloggers WA Kenyan politics πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Huyu ameamua awachane na mziki akuwe blogger sasaπŸ˜‚πŸ˜‚


 
Hata ukiandika hivi huyo conman wenu hafufuki. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani kuna mwenye alikuambia atafufuka? We don't believe in superstitions here like you witches. No wonder wewe ni mwizi sugu.
 
Raila ndio alikuwa govt and not me and for your information his presence their didn't change my life, his absence will not change my life either.

Anyway, how will a Primitive scammer maskini know such simple logics.
Hata uandike nini hampo tena kwa serikali na hamtoingia tena.
Stupid jaluo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Primitive Scammer maskini kashapandwa na hasira.

Forex ishakukataa sasa umeamua ukuje utoe hasira JF.πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi na we wewe anayelazimisha page fake kuwa page ya Rayvanny nani ashikwe na hasira.
No wonder ameshindwa kuonesha total transactions kwenye bank statement. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…