Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa ni Tazara Serou Bridge Tanzania limejengwa mwaka 1970

Mzee umenikumbusha mbali enzi zile nasoma iyunga boys mbeya, hili daraja kawaida timing za treni tunapita usiku sasa tht day tulipita mchana was shocked mzee, treni yote yaingia darajani lina kona kabla hamja kaa poa mnazama handakini giza na ni dk 10 ivi humo ndani
 
Just call it a train, its nowhere near a bullet train. Utakua huna tofauti na wakenya wanaoita barabara super-highway. Hizo ni sifa za kijinga
Ilo jina nmebuni mm nn erooo? Just go and tell the contractors to change the name if you care that much!!
 
Haya jomba isiwe kesi, ukipenda iiteni bullet hata misile train lakini bado ni sifa za kipumbavu!
 
asante kwa kutuonyesha shimo.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
hua nafurahi sana kuona hilo shimo
 
hio bado ni render nduguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
so is SA in kenya ryt???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Weeee ........iyo link hapo nani ya 2015.....I think said 2018 dar imebagwA na msa kwa millionaire

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…