Hao jamaa uwaga hawana aibu kuiba picha za watu na kusema za kwao😂Hii ni Chunya, Mbeya.
Acha utapeli Mkunya
We bwege hii barabara ipo chunya,unataka kusema ipo ukunyan,ona hata aibu bwege ww
No wonder wewe ni chokoraa.We bwege hii barabara ipo chunya,unataka kusema ipo ukunyan,ona hata aibu bwege ww
Tatizo hawana utamaduni wa kusafiri ndani ya nchi yao ndio maana hawafahamu nchi yao.Hao jamaa uwaga hawana aibu kuiba picha za watu na kusema za kwao😂
Hii ni Mukuru kwa Njenga hii!kamulu kwa muchai
siti in ze san 😂😂😂😂😂
View attachment 3483808View attachment 3483809View attachment 3483810View attachment 3483811
Hii ni miradi ya kifisadi ya makambaTurudi Nairobi😁 . More renders 😂😂😂👏 Kilimanjaro towers 22 floors×2 . Hii inajengwa na pesa ya tax payers wa Tanzania, asanti jirani 🙏😂😂😂🙌...View attachment 3484060View attachment 3484061View attachment 3484062
hii nchi sijui inaelekea wapi aisee🙌🏻🙌🏻Hongera sana waziri.. Mama yupo vizurii tunatikii
View attachment 3484092
na huna habari kua hapo pia ndipo patakua ubalozi wa tanzaniaTurudi Nairobi😁 . More renders 😂😂😂👏 Kilimanjaro towers 22 floors×2 . Hii inajengwa na pesa ya tax payers wa Tanzania, asanti jirani 🙏😂😂😂🙌...View attachment 3484060View attachment 3484061View attachment 3484062