Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna msanii toka Kenya kaja bongo tofauti na yule mchekesha walio nuna!
Aje kufanya nini huko na kwa nani na sote twajua hakuna pesa huko bongo.
Kina Diamond ni wajanja, hawakuja na vibakuli vya ombaomba bali talanta yao ndio iliyowaleta...
 
Aje kufanya nini huko na kwa nani na sote twajua hakuna pesa huko bongo.
Kina Diamond ni wajanja, hawakuja na vibakuli vya ombaomba bali talanta yao ndio iliyowaleta...
Mnajua kabisa
Mkenya akija Bongo labda Nzi ndio wataingia kwenye shoo
hahaha
 
Msanii wakenya...akienda uko..apewe laki.
800...aje uku..Kenya ni 30 k yani uko hakuna pesa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…