Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona huwa hawataji na kuonesha hizo slums zilizopo Dar!
Wanasahau kuwa biggest slum in Africa na duniani yapo Kenya. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Anadhani kwenda Google earth na ku zoom out kutaweka slums Dar.
Hata mimi namshangaa, hata hizo anazoita slums bado zina nyumba zilizojengwa kwa matofali na kuezekwa bati juu, ni vile tu mabati ni ya zamani kwa hiyo yana kutu (rust)
Lakini Kenya nyumba zinajengwa na matope, nyingine ni full mabati kuanzia chini hadi juu. Yani watu wanaiona hell hapahapa duniani, halafu wanaona sawa. Eti Singapore ya Africa, Singapore my ass ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wewe scammer unashindwaje kujua list of Slums in your big slumish city?

View attachment 3479163
Nimekuitisha statement umeshindwa kuleta umebaki kulazimisha niwe scammer ili kuficha aibu ya kutoleta statement! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Poor jaluo kumbe siku hizi informal settlement imekuwa slums! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hayo majibu ya AI mbona yanakuumbua!
Kazi ni kuvaa kama wazee.
 
Why are you so ashamed of your job? You should have some pride in Scamming people.

Anyway back to slums Mr. Scammer.

 
Tofauti ya hawa Wakunya na kondoo ni harufu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

View: https://youtu.be/0B_vZCLDs-M?si=BDLanziot3KCMHgF
 
Ebu tuonyeshe hizo picha unakana tuone vile vinafanana in 2025. I assure you that they are now worse.

Dar in 2025.

View attachment 3479197
Dar kuna mvua nyingi sana, so hayo maeneo ya uswazi kutokana na kutopangiliwa ndio kunakuwa na maji machafu yanayotokana na mvua

Lakini wewe mwenyewe si unajua Nairobi hadi 2025 inakaa hivi. Sasa imagine hapa mvua ikinyesha hali inakuwaje ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hata mimi namshangaa, hata hizo anazoita slums bado zina nyumba zilizojengwa kwa matofali na kuezekwa bati juu, ni vile tu mabati ni ya zamani kwa hiyo yana kutu (rust)
But Pipeline is a slum despite having magorofa and self contained rooms?

Ama ikifika Kenya hamuangalii hizo?
 
This just house 40%, in Dar 70% of people live like that.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ