babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,442
- 36,076
Huyo poyoyo ana characters zote za mtu masikini na fukara. 😂😂😂Huyo fala ni msaka tonge tu asikusumbue, huwa anahangaika kweli kweli kutafuta justification watu wamuone ana pesa lkn wapii, nature inamkataa. Juzi kajifanya kuweka picha eti ana drive, akajifanya eti kuna maeneo alitembelea, kumbe focus ilikuwa gari 🤣🤣🤣
Sasa ukiangalia vitu anavyotilia mkazo kuji expose humu ni very minor, thus y huwezi kutumia akili nyingi kugundua family background yake, vidole vyake tu ukiangalia vinamkataa, kashika steering lkn midole yake unaona kabisa ni hustler 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Waongo kwenye kuonesha nini??Kwa hivyo Google maps ni waongo?
I can show you 1,0000 of the worst places of that in Nairobi.Thousands of godowns in one short video 😂😂😂
View attachment 3478089
Ulijifunzaje kuwa scammer?Huyo poyoyo ana characters zote za mtu masikini na fukara. 😂😂😂
Just because the picture has been zoomed doesn't mean that hiyo mini stadium is not in the bush. Mmejengea tumbili na nyani uwanja.Fukara poyoyo anakuambia uwanja wa mpira Arusha unajengwa porini. 😂😂😂
Kumbe uwanja upo nyuma ya Arusha airport.
View attachment 3478132
Scammer ni mama yako masikini wewe.Ulijifunzaje kuwa scammer?
Kwani hupendi KAZI yako ya Scamming?Scammer ni mama yako masikini wewe.
You wanted a video, didn't you?I can show you 1,0000 of the worst places of that in Nairobi.
Nyang'au wameshikishwa ukuta na hawa wasomali. Hii inaitwa upele umepata mkunaji😎
What's this?
Wameshachukua kila kitu.Nyang'au wameshikishwa ukuta na hawa wasomali. Hii inaitwa upele umepata mkunaji😎
Cc: Mimi Wewe Yule
Eti what's this? 🤣🤣🤣What's this?
Toa matako hapo Mathare utembee
How is that a bad thing? Infact inasaidia kutanua mji. In future watu watajenga hapo na mji unazidi kuwa mkubwa, sisi huku Tanzania miji yetu tunaprefer horizontal settlement kwa sababu tunayo ardhi ya kutosha. Sio kama huko Kenya kila kitu mnajenga sehemu moja. Miji yenu ipo congested hadi inatia kichefuchefu.Just because the picture has been zoomed doesn't mean that hiyo mini stadium is not in the bush. Mmejengea tumbili na nyani uwanja.
Kwamba hutaki picha ya namna eneo lilivyo sasa hivi.Nimeokota? Kwamba hapa sio Dar ama unamaanisha nini?View attachment 3478146