Endelea kuiba picha za watu wewe Watchman.Mnuka nnya anakwambia ni screenshot nmeiba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
By the way sikuwa nadhani kama picha zangu zingewastua namna hii, hawa jamaa aisee kweli wanachekesha, eti wamestuka kabisa kwa vitu vidogo namna hii, sijui hawa ni watu wa aina gn tuna argue nao aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuanza si kufika Boss! Uliza EQUITY BANK N KCB BANK! They just got beaten by a local Tanzanian bank!Reason why Kenya is the leading avocado exporter in Africa.
View: https://x.com/aziz_mire/status/1969373786039296045?t=OmKVy4KHWZv_ANF_Btb8aw&s=19
Haya madafu ndio unaturingia nayo wee bawabu?Screenshot nyingine hii hapa mnuka mavi 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3476747
Reason why Kenya is the leading avocado exporter in Africa.
View: https://x.com/aziz_mire/status/1969373786039296045?t=OmKVy4KHWZv_ANF_Btb8aw&s=19
Beaten in what? Equity Bank profit is bigger than profit of 20 banks in Tanzania combined.Kuanza si kufika Boss! Uliza EQUITY BANK N KCB BANK! They just got beaten by a local Tanzanian bank!
Wewe endelea kufanya kazi za ndani kule Oman Nduta.Haya madafu ndio unaturingia nayo wee bawabu?
Ona uwanja ulivyo mweupe hauna hata fans, yani hawa wanusa gundi wanapenda sn kushindana na Tz katika kila hali hata kama hawana huo msuli, Afcon 80% ya mashabiki waliingia bure kwa kuvunja mageti ili tu ionekane wanapenda mpira kuliko Tz, ona sasa kiko wapi? Kauwanja kadogo, inacheza timu yao bingwa na uwanjani hamna mashabiki.
kwa maelezo ya huyo msemaje wa sportpesa ni kwamba wakenya hamuezi afford kulipia azam tvMain sponsor wa KPL ashasema more matches should be broadcasted at KBC because Kenyans lack Azam decoders. The writing is on the wall.
View: https://x.com/pepeta_ke/status/1967970553089708080?t=HubXxKTyPrIR0KwR6nvezA&s=19
Screenshot...