Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Kuna siku mpumbavu flani alisema ati 'thanks for renders' now that The Beast!๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ 1870 west has finally topped out at 37floors above ground ๐Ÿ‘ amebaki kuchokora Mavi ya wakenya๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘
 

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚renders. The Lido Gardens tower. Excavation already ongoing๐Ÿ‘๐Ÿ‘...
 
Hebu nikuulize bro, so hio ndege mpya ndio haiwezi kuanguka? Huyo Rais hawezi kufa kwa njia ingine ispokua kuanguka na ndege?(magufuli style kind of death) come on my African people...๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ
ndege mpya na ya zamani ambayo sio airworthy ipi ina risk kubwa nijibu hilo swali kwanza ndio tuendelee.
 
Dar si Naipori huku maji hadi tunamwagilia bustani kijana.
 
Tanzania tulikuwa tunafanya hivi miaka ya 2006. Tulishaachana na mambo haya maana tuliona ni ushamba. Sasa hivi tunawekeza zaidi kwenye Agriculture, Transport na Infrastrucutre.
๐Ÿ˜‚ investments kama hizi zinazo contribute to thousands of employment in addition to pumping billions of shillings into the kenyan economy while attracting more investors ndio unaita ushamba? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ.kama hio ndio ushamba basi tuache tuendelee na ushamba wetu in peace๐Ÿ‘...
 
ndege mpya na ya zamani ambayo sio airworthy ipi ina risk kubwa nijibu hilo swali kwanza ndio tuendelee.
Umejijibu ndege ambayo 'sio airworthy', so the issue is not about whether the airplane is new or not but Rather if it's air worthy ...unaweza pata ndege mpya fresh from jikoni na ikose kua air worthy Mpaka ikue cleared for test. So my question to you is ... ile ndege ya mama before they inqured for a new one, was it airworthy or not!?
 
Pick up production at Saturn corporation
 
Acha ushamba huwezi kuuziwa ndege mpya bila certification ya aviation authorities
 
Yes our G550 is still airworthy na tumenunua G700 na bado kuna order ya B737BBJ iko njiani
 
Ethiopia Ni washamba kweli,kweli๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚addis!๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ