Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,077
- 35,296
Ili uchumi wao uonekane uko stable,wapate mikopo ya unafuu,but on ground wanashindia mlo m1 kwa sikuVitu kama hivi huwa vinawasaidia nn hasa wanao fahamu watujuze na kila mwaka wanakufa kwa njaa View attachment 3472545
But not sophisticated. Bicycle repair can be done by anybody even those who didn’t step in any school.Did you know that bicycles are highly efficient machines more than cars?
Juu mtanzania amepata Gold medal then riadha sio mchezo ya watu maskini Tena? Naona mnaishangilia kweli kweli that one gold medal😂😂Kuna wapumbavu walikuja na viji data vyao uchwara vya medali za Gold, fedha etc
View: https://www.instagram.com/reel/DOnQMpfiIKr/?utm_source=ig_web_copy_link
Inawezekana nikakulaumu kumbe hujui chochote, ni kwamba uwe mkenya au raia yeyote yule wa EA kuingia nchi yoyote lazima uwe na passport au travel document, ingekuwa unaingia tu kama chooni si mngejazana huku kwetu. We unadhani kuna mkenya hataki fursa ya kuja Tz?What would a watchman like you understand about international agreements like the existing East African Community Common Market Protocol that allows for free movement of people among member states? Have you even heard of such a thing? Huwezi jua coz your arguments are driven by hate. You don't take a minute to reason or think beyond hate. And that makes majority of you here
Wewe ndio hujui chochote coz it's evidently clear kwamba hujui kuna kipengele cha jumuia ya Afrika Mashariki kinachoruhusu free movement of goods and people among member states. Inakuruhusu utoke hapo Tandale uswazini uje Nairobi jiji juu la kanda bila haja ya passport. You should thank me for enlightening you on this bongolalaInawezekana nikakulaumu kumbe hujui chochote, ni kwamba uwe mkenya au raia yeyote yule wa EA kuingia nchi yoyote lazima uwe na passport au travel document, ingekuwa unaingia tu kama chooni si mngejazana huku kwetu. We unadhani kuna mkenya hataki fursa ya kuja Tz?
Masikini akipata matako hulia mbwata 🤣🤣🤣🤣🤣Juu mtanzania amepata Gold medal then riadha sio mchezo ya watu maskini Tena? Naona mnaishangilia kweli kweli that one gold medal😂😂
Huu mji huwa una mifugo mingi sana hadi CBD
Huko ndipo wanapojifunzia
Hapana nyie mlisema hatuna Gold Medal ndio tukawawekea hii hapa mjione jinsi mlivyokuwa wajinga mnapenda kuropoka tuu bila supporting evidence yoyote. Hii nimeposti kwaajili ya kuwaweka sawa tuu sio kujisifu wala nini.Juu mtanzania amepata Gold medal then riadha sio mchezo ya watu maskini Tena? Naona mnaishangilia kweli kweli that one gold medal😂😂
Stick to your lane of nursing.But not sophisticated. Bicycle repair can be done by anybody even those who didn’t step in any school.
wapuuzi hawa na bado wataamini hizo stats kwa jinsi walivyokuwa manyumbu.Ili uchumi wao uonekane uko stable,wapate mikopo ya unafuu,but on ground wanashindia mlo m1 kwa siku
Auto mechanics often tackle what seem to be complex repairs, but these tasks can usually be simplified into straightforward steps. Take, for example, changing a timing belt, a job that many people assume requires specialized knowledge.But not sophisticated. Bicycle repair can be done by anybody even those who didn’t step in any school.
Jaribu wewe kuingia bila ppt au any travel document zen uone kama hatujakifyeka kikata nnya hicho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ndio hujui chochote coz it's evidently clear kwamba hujui kuna kipengele cha jumuia ya Afrika Mashariki kinachoruhusu free movement of goods and people among member states. Inakuruhusu utoke hapo Tandale uswazini uje Nairobi jiji juu la kanda bila haja ya passport. You should thank me for enlightening you on this bongolala
Very biased data. Kenya inalishwa na Tanzania hata nyinyi mnajua hiloVitu kama hivi huwa vinawasaidia nn hasa wanao fahamu watujuze na kila mwaka wanakufa kwa njaa View attachment 3472545
Do us a favor and show us the FIBA women ranking, I'll show you something 😂
Sio tena michezo ya maskini😂😂Tena sana,kuna sehemu nimeona wanadai simbu anaishi eldoret,hawa maku kila kwenye mafanikio ya TZ lazima na wao wajiingisw,simbu anaishia arusha