Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nasupport mchukue hizo kazi muwapee hawa omba omba wenu waache kutuharibia miji yetu
ombaomba ambao mpaka leo mumeshindwa kuwarudisha makwao yani inamaana ombaomba ana passport kabisa 😂😂😂😂

yani munadanganywa na wanasiasa wenu ni watanzania ilihali wanajua ni wakenya wenzenu
 
hawana makwao? mbona hamuwarudishu kama kweli ni watanzania😂
 
Zaidi ya wakenya 50,000 ni wakimbizi pale kakuma refugee camp, pambaneni na hawa kwanza.

 
alaf wanakwambia watanzania ni ombaomba ilihali wameshindwa kuwarudisha kama kweli ni watanzania
 
alaf wanakwambia watanzania ni ombaomba ilihali wameshindwa kuwarudisha kama kweli ni watanzania
After investigation serikali yao na bunge likagundua kwamba sio tu wale ombaomba ni wakenya bali pia kuna wakenya zaidi ya 100,000 wameji register kama wakimbizi pale kakuma refugee camp 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇
 
Baada ya renovation mkapa haitafika hata nusu ya nyayo
"Ita" unateseka ukiwa wapi,mkapa mtaishinindanisha hadi na ile godown takataka,renovavation ya mkapa ni ile roof tu kama alivyo pacha wake estadio de france,kama hujui mkapa ni same na estadio de france but ule miaka ya karibuni walibadilisha roof
 
😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…