Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha ati SGR ya Tz ni class 3...halafu stima 1500 megawatts na wanasema watakuwa na bullet train kivipi kama those connected to the national grid ni 10% - 15% only. Nchi ya viwonder ni vioja tupu.
 
Kenya's Paved roads 9,273 km.

Paved roads in Tz only 1,500 km.

Paved Road Good Condition = 1,026.27 Km z
Paved Road Fair Condtion = 283.37 Km z
Paved Road Poor Condition = 139.91 Km z
Paved Roads Total Kilometres in Tanzania Mainland = 1,449.55 Km
umeona ulivo huna akili
from mwanza to dar 1200km paved road
from mbeya to dar 1400km paved road
from dar to kigoma 1900km paved road
from mbeya to sumbawanga and kigoma 1000km paved road
from tabora to sumbawanga 700km paved road etc
 
Ethiopia ni class 2 rail na ni mainly for passengers.. Kenya ni class one railway for passengers and cargo to Uganda,Rwanda,south sudan
rwanda toa kwenye mahesabu mlilieni mseven lasivo SGR itageuka kua white elephant sasa hviπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahaha ati SGR ya Tz ni class 3...halafu stima 1500 megawatts na wanasema watakuwa na bullet train kivipi kama those connected to the national grid ni 10% - 15% only. Nchi ya viwonder ni vioja tupu.
Wrong data,kazi yako ww ni kusubiri uone unayotaka kuhisi hayawezekani, mradi wa umeme vijijini utakua umeisha 2020 nadhani ilo hujawahi kuota. ...
miradi ya kufua umeme inaendelea sambamba na ujenzi wa sgr. ...hautaamini maana umezoea shida uko kwenu
 
umeona ulivo huna akili
from mwanza to dar 1200km paved road
from mbeya to dar 1400km paved road
from dar to kigoma 1900km paved road
from mbeya to sumbawanga and kigoma 1000km paved road
from tabora to sumbawanga 700km paved road etc
Ongeza Dar to Arusha
Dar to Tanga
Dodoma to Arusha
Dodoma Iringa
Dar to mtwara
Zote hizo ni paved.
Hawa jamaa sijui wakoje aisee!! Sijui kukosa exposure!!
 
Hahahaha ati SGR ya Tz ni class 3...halafu stima 1500 megawatts na wanasema watakuwa na bullet train kivipi kama those connected to the national grid ni 10% - 15% only. Nchi ya viwonder ni vioja tupu.
Wakenya ni watu wa ajabu sana, Maina na Macharia wanaendelea kuwachezea akili kwa kuwadanganya na lugha za kijinga, eti first class, mara ooh yetu ni double truck ile ya Ethiopia ni single, ukiuliza hivyo vitu vinasaidia nini wakati speen bado ni ndogo, wakati ile ya Tanzania itakuwa na uwezo wa kubeba 10,000 tonnes per one trip, Kenya itabeba only 4,000 tonnes pe one trip, bado ile ya Tanzania itatembea kwa kasi ya 120km/hr, Kenya 80km/hr, bado utasikia first class au double truck.
 
Ongeza Dar to Arusha
Dar to Tanga
Dodoma to Arusha
Dodoma Iringa
Dar to mtwara
Zote hizo ni paved.
Hawa jamaa sijui wakoje aisee!! Sijui kukosa exposure!!
nilikua namuonesha huyo pimbi naona aliewaroga aliondoka na ufunguo
 
we unazungumzia barabara za vijijini inamaana hata hio agency kuandika rural bado hujaelewa tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
angalia tofaut yetu itazalisha ajira 600,000 yao ilizalisha ahira 40000 inamaana ajira nyingi walipewa wachina serious mpaka ulinzi ni wachinaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…