Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzakundu wanatuogopa sna, mechi ya kirafiki lakini wamekaza kinyeo πŸ˜‚πŸ˜‚
Utabaki hvyo hvyo kujifariji na kulazimisha battle ya soka, ila timu zenu zinato.mbw.a kila siku na timu za bongo.
1. Police (bingwa wenu) kanyombwa 🀣🀣🀣

2. Gor Mahia (wapili huko kwenu) kanyombwa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

3. Shabana (timu ya mnuka mavi) kanyombwa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

4. Bandari kanyombwa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Unataka nn cha ziada hapo, usiwe kama mwanamke malaya usiyelidhika na dudu, kubali yaishe🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwanza ujue kingereza sio lugha yangu hapo nimejitahidi sana kwani kuna shida gani umenielewa au bado but your country is next English speaker to the British happy now mzungu mweusi
Hata mimi Kiswahili sio lugha yangu ila nakielewa. Stop looking for flimsy excuses
 
Kama Alaska mwanangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
View attachment 3470630View attachment 3470631View attachment 3470632
Ushamba wa stadium tushatoka huko,hii mkapa ina zaidi ya miaka 14,kipindi iko tulikua washamba,ushamba wetu sasa hivi upo kwenye BRT,SGR ya umeme sio tungi la chang'aa,JNHP n.k
Walikuwa wanatamba kujaza uwanja kwa 200 afcon wakaona wamefika.
Hesabu ya simba
Mzunguko 7,000
VIP C 20,000
VIP B 30,000
VIP A 100,000
Platinum 250,000
Tanzanite 350,000
Kwa hivi viingilio mauzo ya simba day ni above 700mil au ksh 35mil
The highest gate kwa Kenyan league ilikuwa 7.9 mil
Mauzo ya jezi tu kwa ajili ya maandalizi ya simba day ndo bajeti ya KPL kwa mwaka mzima
 
Nikadhani ni Mkapa kwa kuwa imepigwa juu sana, lakini nikajiuliza, mbona pamekuwa pori sana? Dah, kumbe ni Naipori?
Najua ulikuwa unategemea kuona slums hapo kando just it is pale Makwapa Stadium.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…