The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Unaangalia muda ilichukua ama unaangalia uzito wa yaliyosemwa? Several parliamentarians angrily lashing at Kenyan high schoolers huoni hiyo ni aibu? Yet you're getting orgasms over Ruto offering a halfbaked apology in a prayer day ati if we have wronged you forgive us. π€£ π€£Sasa wewe unadhani hiyo ilichukua muda kiasi gani hapo bungeni?
Du! Zima TV lalaKwenye maisha Yangu Nilisha Jiapiza Yanga akicheza na Mbwa nashabikia Mbwa
Ila kwa leo Kichwa kimevurugika kabisaa
Nikicheki ni Mikunya!!!
tulia wewe zuwena wa diamond ππKwenye maisha Yangu Nilisha Jiapiza Yanga akicheza na Mbwa nashabikia Mbwa
Ila kwa leo Kichwa kimevurugika kabisaa
Nikicheki ni Mikunya!!!
Watanzakundu wanatuogopa sna, mechi ya kirafiki lakini wamekaza kinyeo ππKwenye maisha Yangu Nilisha Jiapiza Yanga akicheza na Mbwa nashabikia Mbwa
Ila kwa leo Kichwa kimevurugika kabisaa
Nikicheki ni Mikunya!!!
Utabaki hvyo hvyo kujifariji na kulazimisha battle ya soka, ila timu zenu zinato.mbw.a kila siku na timu za bongo.Watanzakundu wanatuogopa sna, mechi ya kirafiki lakini wamekaza kinyeo ππ
Hata mimi Kiswahili sio lugha yangu ila nakielewa. Stop looking for flimsy excusesKwanza ujue kingereza sio lugha yangu hapo nimejitahidi sana kwani kuna shida gani umenielewa au bado but your country is next English speaker to the British happy now mzungu mweusi
Mradi passport yetu ina nguvu kuliko ya wanusa gundi basi kwangu mm inatosha.mambo ya good governance hayo πππππ»ππ»ππ»ππ» tunakaa kusifia upuuzi tu good governance watu wanapiga pesa waziwazi
View: https://www.instagram.com/p/DOgsugHCOXH/?igsh=a21ycWUzMnpmZHp5
Eldoret having more buildings with 15+ floors than Mwanza π