Hamuendi street, mnapelekwa.Sisi hatupost tu mtandaoni, Hadi kwa street tunaenda. Nyie endeleeni kujificha mtandaoni.
Mpwimbe amekujibu vizuri sana, sina cha kuongeza, hili pia kuna mchungaji mmoja Mkenya aliwahi kulidokezea, akisema, mafisadi Kenya wanapeleka watoto wa maskini kufanya fujo na kupigwa risasi, huku watoto wao wakitulia majumbani Karen huko, wakiangalia kwenye TV (I'm paraphrasing).Sisi hatupost tu mtandaoni, Hadi kwa street tunaenda. Nyie endeleeni kujificha mtandaoni.
Hata wachezaji hamna.
Na kwa jinsi tff yalivyo mang'ombe yatayang'ang'ania hayo makocha mpk Afcon tukatie aibu, just because of 10%
ziko kwa karatasi mkuu 😁Ila wanusa gundi hizo tarmac road ziko wapi
Nairobi na GoogleIla wanusa gundi hizo tarmac road ziko wapi
hawezi kua sucked ni mpemba yule kaka yule ni mpemba hawezi kutolewaKocha wa Taifa Stars need to be sacked asee.
Alafu leteni kocha ambaye anaselect watu bila kujali timu, michezaji ovyo.
Samatta unamuita wa Nini? Tumecheza michezo mingi miaka 2 sijui lini samatta alifungia Taifa stars
Mwacheni tafuta wachezaji wengine, na hawa wa simba na yanga Daily wa nini?
Kocha fala sana, unaingia bila mipango unacheza upuuzi hujui hata set piece unatumiaje ni butua butua.
Yaani wachezaji wacheze tu kisa wachezaji.
Afcon iliyopita huyo kocha mwehu ndie alitukosesa ushindi na Backpass watu wana Red Card mpaka leo yupo.
Need to be sacked.
Ikiwa Vilabu vya Ligi vinatoa pesa ndefu kuleta Kocha timu ya Taifa inafeli wapi?
Kuna nchi zimeprove kocha anafanya kazi na wachezaji wadogo tu.
ziko kwa karatasi mkuu 😁
So bongolalas you expected every single road in Kenya to have tarmac? Just because we rank above you in this area? Yani inawauma to this extent 🤣🤣🤣 Mnapenda sana kujiliwaza mibongalala nyie. There are dirt roads even in USA so don't worry about the state of that Kenyan road and start asking silly questions like these ones I'm seeing here. I can show you thousands of such images from TanganyikaNairobi na Google
Sackedhawezi kua sucked ni mpemba yule kaka yule ni mpemba hawezi kutolewa
You know nothing about Kenyan riots. You’re cowards, so you’ll never understand how riots actually work. While people like Diamond and Harmonize are busy licking Suluhu’s ass, in Kenya artists like Bien, Khaligraph, Arrow Boy, Nameless and others were out on the streets protesting. Are you seriously trying to say those people are poor?Mpwimbe amekujibu vizuri sana, sina cha kuongeza, hili pia kuna mchungaji mmoja Mkenya aliwahi kulidokezea, akisema, mafisadi Kenya wanapeleka watoto wa maskini kufanya fujo na kupigwa risasi, huku watoto wao wakitulia majumbani Karen huko, wakiangalia kwenye TV (I'm paraphrasing).
Bro lakini samata kiwango chake hiv karibuni kipo vizuri dat why kacheza mechi ya ligi iliopita, mawazo ya wachezaji yapo simba day na mwananchi day nothing else I think, wanauzalendo na club team and not nation teamKocha wa Taifa Stars need to be sacked asee.
Alafu leteni kocha ambaye anaselect watu bila kujali timu, michezaji ovyo.
Samatta unamuita wa Nini? Tumecheza michezo mingi miaka 2 sijui lini samatta alifungia Taifa stars
Mwacheni tafuta wachezaji wengine, na hawa wa simba na yanga Daily wa nini?
Kocha fala sana, unaingia bila mipango unacheza upuuzi hujui hata set piece unatumiaje ni butua butua.
Yaani wachezaji wacheze tu kisa wachezaji.
Afcon iliyopita huyo kocha mwehu ndie alitukosesa ushindi na Backpass watu wana Red Card mpaka leo yupo.
Need to be sacked.
Ikiwa Vilabu vya Ligi vinatoa pesa ndefu kuleta Kocha timu ya Taifa inafeli wapi?
Kuna nchi zimeprove kocha anafanya kazi na wachezaji wadogo tu.
Hutowai pata chawa wa rais humu kutoka Kenya. Side yenu imejaa machawa wakiongozwa na ChoiceVariable ..Afadhi yetu huwa tunaongea na kuweka matatizo yetu hapa nyie sijawahi kuona mnakosoa chochote kile kinachofanywa na viongozi wenu ni uzalendo au ni upumbavu
NairobiWalker alisema you can't see 50km of unpaved road in Kenya.
1st, you're twisting my words. Go back to the post where I talked about 50km unpaved road and understand it well.NairobiWalker alisema you can't see 50km of unpaved road in Kenya.
Tena unaweza Kuta Kenya ina unpaved road network ndefu kuliko Tanzania.
Mwanaume anaitwa Bahati unategemea nini kaka. 😂😂😂NairobiWalker alisema you can't see 50km of unpaved road in Kenya.
Tena unaweza Kuta Kenya ina unpaved road network ndefu kuliko Tanzania.
Yani kwa maana nyingine anaitwa gift, wale wapindaji wanapenda sn kutumia haya majina.Mwanaume anaitwa Bahati unategemea nini kaka. 😂😂😂