Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

pamoja na tanzania kua ni kubwa mara mbili ya kenya ajabu hawa ndio watu tunashindana nao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://x.com/kenyatalkforum/status/1934882661903790137?s=46
pamoja na tanzania kua ni kubwa mara mbili ya kenya ajabu hawa ndio watu tunashindana nao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://x.com/kenyatalkforum/status/1934882661903790137?s=46
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukisikiliza hizi nguruwe unaeza kudhani ni watu wana ishi japan

View: https://x.com/standardkenya/status/1961024228427280501?s=46
nairobae Ile sindano uliwapa hawa jamaa ilikuwa moto sana, mpaka sahii wanatafuta jibu πŸ˜‚
 
nairobae Ile sindano uliwapa hawa jamaa ilikuwa moto sana, mpaka sahii wanatafuta jibu πŸ˜‚
tunatafuta jibu gani ? miko yote tanzania imeunganishwa na lami kwa zaidi ya asilimia 90 na bado hapo tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya alaf unataka tuzungumze nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

mikoa yote tuna modern bus terminal na zingine zinajengwa hapo bado unataka tushindane nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…