Wakenya mtaanza porojo kuwa hamna rami
Ni kwasabab haya majengo ya uku upanga ni ya juzjuz2 apa
Mengine apo bado yanaendelea kumaliziwa
Daaah! Hiyo sehemu kailinganishe na Nyali Mombasa, lakini hata hizo barabara zikawa mbaya kuliko za Nyali
Dar ina CBD to na hapo tosha, sijui Upanga, Sijui Kariokor, sio lolote, residential flats tu!
Nairobi tumewapa Business District nne,
1. CBD
2. Upperhill
3. Westlands
4. Kilimani
Nairobi tumewapa luxurious residential zones
1. Lovington
2. Hurlinghum
3. Karen
4. Runda
5. Muthaiga
6. Kileleshwa
7. Langata
8. Ridgeways
9. Parklands
10. Riverside
And other regions
1. South C
2. South B
3. Embakasi
4. Pangani
5. Ngara
Just to name a few, left out over 20 sections
And many more till kitengela, Thika, Limuru, Ngong, Kiambu which are a in Nairobi metro
We have given even our worst
1. Kibera
2. Mukuru
3. Kawangware
Nairobi is just too big for yuo to comprehend, Nairobi is just way ahead of Dar and you don't need to argue.
On your part, you have given us the
1. CBD,
2. Upanga
3. Kariokor
and that is all, or prove me wrong
Then we have seen Tandale and the rest
So the game is officially over