Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha ati ******** anacopy paste Kagame.....

 
Hahahaha ati ******** anacopy paste Kagame.....
Stop this nonsense of yours, Magufuli ni rais bora Africa na duniani kwa sasa, japo anamapungufu yake ktk upande wa political tolerance and freedom of expression, lakini bado anabaki kuwa rais bora kwasasa.

Copy and paste katika mambo mazuri ya maendeleo ni jambo zuri na ni busara, kama vile ambavyo Uhuru Kenyatta alivyoanza kumuiga Magufuli kwa kutembelea ofisi ya wizara ya fedha kwa miguu, kupunguza mishahara ya watumishi, kupiga marufuku pesa ya serikali kuwekwa katika bank za biashara na kuzuia matumizi ya shisha[emoji1] [emoji1]
 
Cheki hayo maminara yalivyo marefu kuliko hata building yenyewe
 
Endelea na hizo hekaya zako za kilabuni, 2020" Tanzania nzima itakua na umeme tuna plant ya megawatts 2200 na phases za megawatts 2000
Vijiji Vyote Visivyo na Umeme Kupata Umeme Ifikapo 2020/21 - Full Shangwe Blog
 
bagamoyo wameanza ujenzi na 2020 wanaanza kupokea meli ya kwanza na mm nakuhakikishia bagamoyo will be ready before lamu, lamu mulikua munaitegemea zaidi pipeline from uganda sasa tushaichukua na nguvu za kujenga zote zimeisha
Aisee unauhakika 2020 Bagamoyo port inaanza kupokea meli?
 

Tofauti ya ghorofa nne ni reassonable.hata kama kuna tofauti ya robo metre kwa kila urefu wa floor in sum utapata matokeo haya kwa urefu ule mkubwa wa majengo.

Britam iko na 200m,33 floors unajua kila floor ina wastani wa metre ngapi???umeishawahi kushuhudia floor ya 6m ukajua inafananaje???it doesnt sound even economically.kama britam ni showroom ya malori may be.

Tunapenda kutumia akili ila wakenya wengi hamuwezi kutumia akili zenu.
 
sio kwamba Kenya haijawai kuwa na gari moshi before. we still have The Lunatic Express which is Narrow Gauge Railway and has been operating since 1905.
naona sasa unataka kuturejesha nyuma kwenye historia ya utawala wa kikoloni EA.

sizungumziii gari moshi la mkoloni...nazungumzia gari moshi mlilokopa kwa pesa kubwa toka kwa mchina ambapo mtalipa deni kwa kukwata kodi zenyu.kila raia mkenya lazima atalipia hata wale mafukara wa kibera [emoji23] [emoji23]

kama unataka tu-concentrate kwenye historia ya utawala wa kikoloni hapa EA,basi sisi tulianza kumiliki gari moshi tangu 1890s.bado tuliwatangulia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Mbona ya Nairobi iko substandard, ni chafuchafu hivi
Hii kwanza ni ya USA, developed world. Yaitwa Kalamazoo (Top notch infrastructure and landscaping)



Yenye Annael in his/her confusion alitaja ndio hii in India, middle income economy
kathipara (landscaping shida but infrastructure iko)


Ya Kenya nayo hii, middle income economy
Likoni Rd (landscaping shida but infrastructure iko)


Ya Tz nayo ndio hii LDC (both landscaping and infrastructure are nonexistent)
 
Jifurahishe mbongolala kisha ulale. ndo maana nimesema muweke hata 10 floors mkitaka. Uzuri ni kwamba hilo jenga la '28 floors' conquered the east african skyline for years before mjenge ile yenu
Mnaendaga shule kusomea ujinga!!
Umeandika nini !
Jifunze kuandika kwanza
 
Unawashwa wewe,subiri muda wa kukunwa ktk huu huu uzi 2020 nakuombea uzima na utimamu wa akili.
 
sio kwamba Kenya haijawai kuwa na gari moshi before. we still have The Lunatic Express which is Narrow Gauge Railway and has been operating since 1905.
Suala hapa ni ninyi kuanza kujenga reli ya kwanza baada ya uhuru 2017 wakati sisi tulijenga yetu 1970s. Yaani miaka 40 iliyopita.

Hizo zilizojengwa na wakoloni (metre gauge) sisi hata hatuziongelei kwa kuwa teyari tulishakuwa nazo mbili; usambara railway (1890s) na central line (1905).
 
Mbona RVR yenu itaendelea kuwepo nayo ni gari moshi, kwanini tena mliamua kujenga hari moshi lengine, kwa maana hiyo hamtokuwa na alternative kwasababu mtakuwa na gari moshi mbili, sisi kwasababu tunalo garimoshi la cetral corridor, tunajenga electrical, kwahiyo moja ikipata shida, alternative itatumika.
How can you dwell on flyovers while your mothers and children live in slums with no water, toilets and sanitations, I fell to understand you nyang'au, stop talking about flyovers and concentrate on slums and hunger, these are important basic needs.

You are the one with elimu duni, apart from english and tribalism, what else your education system offers?, If you still embrace tribalism, what kind of education is that?
 
Cha kushangaza, wakati namjibu huyu sikujua kwamba ameshajibiwa ila baada ya kuitundika ndiyo nikaona ya kwako ukiwa na mawazo yale yale niliyofikiria.
 
Is Tazara Railway,, Meter-Gauge or Standard Gauge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…