Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Where is it basi?

Kwahiyo na mimi nikiandika hapa thread niweke majengo makali eti yatajengwa Tanzania ni fact?

Acha upuuzi yapo hospital gani sasa?

Any I am waiting gari ya serikali ya 40yrs
Hivi unataka nikubebe nikupeleke Mwanza nikuonyeshe ndio hii ndio ukubali ama unatakaje maanake at this point you sound like an irredeemable fool.
 
Embu tuoneshe side walks hapa. people are literally walking on the road.

View: https://youtu.be/I507n39mQbo?si=OqGUVFbLAo0NVLOJ
That is an underpass you idiot, the sidewalk is on the upper side. Those people are jaywalking. The amount of foolishness in you people keeps hitting new lows. Hiyo video imechukuliwa hapo kwa blue arrow. The sidewalk iko pale kwa red arrows. Mmepata sidewalks juzi mnaona ni miujiza. kha! Mnachosha.
 
Nilikudharau sana baada ya kukuona huko Nairaland unasajili Accounts zaidi ya 100 ili uonekane kuwa ni watu wengi. Hapa umesajili accounts zaidi ya 20. Ninayo proof. Na zote ni active kwenye jukwaa hili
 
Nilikudharau sana baada ya kukuona huko Nairaland unasajili Accounts zaidi ya 100 ili uonekane kuwa ni watu wengi. Hapa umesajili accounts zaidi ya 20. Ninayo proof. Na zote ni active kwenye jukwaa hili
Wanapenda kulazimisha waonekane kuwa nchi yao ipo vizuri kumbe bado wanapokea chakula cha misaada. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Juzi serikali yao ikawa ina sponsor online bullying kwa Watanzania ili wakunya wasahau maandamano. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni ujinga sana. Just imagine, wanata tuanze kishindana kuja uwaja wa football, wakati tiketi zao zote za kuingia uwanjani zimelipiwa na Ruto.

Yaani wanapendelea trivial issues. Ukiwaambia tushindane development huwaoni wanaishia mitini.
Kenya is already dead
 
Watchman amekuwa expert wa aviation πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…